usikii tulieda kibarua kwao mchana yote dio tupewe unga cjawai heal
2026-09-28 17:39:43
20
MISS MURBIY 🇰🇪 ♈️ :
mnatoa wapi hizi story narelate zotee hadi comment section zinaniguza
2026-09-28 19:18:24
2
cynty :
huskii mm nilitumwa kwa kisiagi na mahindi 1/2 gorogoro😳, nkajua ni babake yuko kidogo naona ni yy amekuja kunisiagia, na niko na mayai moja nmeficha ndani ya mahindi, cjai furahia kabsa
2026-09-28 16:05:44
50
🎀Miss.Nancy🎀 :
can never heal time mathee alinisho niombe mamake 30 tusiage ..kuku ikitega tumpee mayai mbili💔😂😂😂
2026-09-28 17:42:12
13
Denisto$ :
mimi nilitumwa niulize kama Kuna kibarua
2026-09-28 16:42:52
15
Mrs.Bramwell :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mm nilienda bursary Baba Yao anataka nimhug🤔🤔🙆🙆
2026-09-28 15:26:20
2
sagi :
mm nilitumwa dram ya maji siku y matanga
2026-09-28 11:56:44
17
lydia glow :
I thank God sijawai date in my village 😅😅😅😅😅 am proud of myself 😂😂😂😂😂😂😂☺️
2026-09-28 17:30:58
2
@Jacklinejudy02 :
Mimi nilitumwa niulize kama waneza nunua mgomba WA ndizi
2026-09-28 13:55:50
11
dijackie💘💫🫶 :
acha nikufollew momma ju ya hii story yoye
2026-09-28 17:22:20
3
THIMIKO WEHU :
kila mtu aongee yake alafu me ntakua wa mwisho🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 16:18:40
7
Moses musa :
mm nae ni vise versa nilitumwa crate ya soda. 😂😂😂😂
2026-09-28 15:27:59
5
Ladygaga@🔥🔥 :
Mimi nilitumwa kukopa unga ya uji kwa kikombe eti tukisiaga tutawarudishia😒😒, Cha kuniuwa nilimpata amekaa na mama yake 😔😔
2026-09-28 16:21:54
10
❤️😍Love@# :
Mimi mathe alimwambia atusaidie maize ya kuchoma na hakuwa anajua ni Boyfriend wangu,imagine hiyo maindii tuliendea na Mathe😭😭naskia aibu adii saii
2026-09-28 15:30:43
7
🇰🇪poline mwene 🌹⚘️🔥 :
wenye hatujai date watu wa karibu kujeni tucheke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mimi mtu niliona akiwa mdogo au kijana hawez nidongoza kwan mweny ananijua tabia zangu 😂😂😂❤️❤️❤️💯💯n hii kiherehere yangu siwez
2026-09-28 15:59:51
8
lovelylove6682 :
Sister yangu alioleka na unga akitoka kusiyaga imagine sisi tunasubiri unga tupike food mom alikuwa amezaa last Born
2026-09-28 15:00:52
7
abraham werangai :
mim Kuna fundi aliwahi nichukuwa niende nmusaidie job ingine mahali so hakunitell plec tunaenda so kuenda nikapata ni Kwa kina demu wangu,,
2026-09-28 14:11:33
10
tycoon :
kumbe kila MTU hapa aliteseka🤣🤣🤣😂😂
2026-09-28 18:36:09
3
mamake lucky kante :
Mimi nilitumwa unga jion mum alikuwa anapika na hikuwa inatosha
2026-09-28 19:48:56
2
🦋❤️Mrs🦋.Becky🦋 :
😂😂😂mm nilitumwq kwa tinga yao ety nishage wataleta pesa🤣🤣🤣
2026-09-28 17:31:11
2
Jennifer🇰🇪🇨🇦 :
Mimi nilitumiwa pombe tena chang'aa
2026-09-28 18:01:38
3
Mercy k💕💕 :
yangu ni magumu nilienda kusaidia mamangu kibarua huko sijawai heal
2026-09-28 19:02:38
4
Daddis Angel :
Mimi Ni crushie 😭,mum ananituma nimuombee Maji ya kukunywa Na jug 😂😂
2026-09-28 15:35:29
2
African princes :
Mimi nilipewa maindi moja enye imekauka nitoe kama sadaka na chali yangu alikua church mpaka Sahi cjai rudi ushago
2026-09-28 17:19:12
4
To see more videos from user @humblelady511, please go to the Tikwm
homepage.