Jamani lafu jitu eti
linakukata pointi 3 tuombeanedua
2026-09-28 19:50:11
7
King~v8 :
Mmmh🥹🥹🙆🏻♂️
2026-09-28 21:59:02
0
Frank Sadick :
Toa Msaada Sio Kurekodi😓😓😯🙊😢
2026-09-28 19:34:21
0
Richie_furniture_arusha :
daaaaah kweli udongo unatumaliza[Crying]
2026-09-28 20:16:45
3
brack wolf the only one-1 :
dah!!¡¡ mungu atulinde madereva wote kwakwelii🥺🥺🥺😭😭😭
2026-09-28 17:20:34
1
Andoflex...🎃 :
dah asa siumsaidie brow
2026-09-28 20:03:59
0
n.driver :
dah kazi naipenda sana hii ila nikifikiria ajali 😢
2026-09-28 21:20:06
1
Ēmmå Ñüêl 🎒🇿🇲🇹🇿 :
mungu amlaze mahali pema peponi kamanda 🫡🫡
2026-09-28 20:37:27
1
Eric :
Mbona upo pekeyako?
2026-09-29 00:46:17
0
isaya kisanga :
ndouwanaume tukaze wazeee
2026-09-29 01:07:29
0
Omary Kisoma :
polen sana
2026-09-29 00:49:16
0
Daniel Jimmy Mwalisu :
ni wapi dah 😭😭😭😭
2026-09-28 23:56:56
0
Nature khan :
mungu tupe mwisho mwen duuuh
2026-09-28 23:35:10
0
Wabongo Tz :
duh nimeumia sana
2026-09-28 23:17:50
0
Prince👑🤴 Julius :
howo. zimekuj kuuwa ndug zetu
2026-09-28 21:45:43
0
dady :
dah poleni sanaah
2026-09-28 19:15:34
0
stanslaus :
Sasa unarekodi badala ya kutoa msaada
2026-09-28 20:29:20
2
side boy :
kunawatu wana comment tu ujinga eti unalekodi. haumsidii apo uyo jamaa yuko pekeake na anakuambia sasaivi tu lazima achunguze aone mtu yupo vipi. kuna hajali kama izo ukizikuta ata muwe watatu kumtoa mtu ni shuhuli lazima watu waongezeke c tuliwai kuta mtu kalaliwa ivyo na mzima analalamika tumtoe ila tuko wawili tulichoka adi tukasimamisha achimwene wakati inaenda mbeya huwo ni usiku wakashuka bidume kama 15. ndo tukainua. unazani watu wanapenda kumuacha mtu aumie
2026-09-28 20:48:53
6
MR. MTOTO MDOGO :
Polen sana na ajal wap apo
2026-09-28 21:33:51
0
Petro Yohana :
poleni sana madereva kwa changamoto
2026-09-29 01:09:40
0
Masoud kassim :
poleni sana jamani ni maisha ya utafutaji tu hayo
2026-09-28 21:29:36
0
eva jonathan :
mpka tumbo limeniuma eeh mungu walinde madeleva😓
2026-09-28 22:04:39
0
MR. MTOTO MDOGO :
Wap apo kwan jamaa
2026-09-28 21:39:55
0
hozan :
majonzi sna huu mwaka kuanzia mwezi 7 mpka mwezi 10 ajali hata 1000 zimeuwa watu tanzania kila siku duuh sijui kuna kitu gan kinapita yan haipiti siku ni vifo vya ajali daah inauma asee 😢😭😭😭😭
2026-09-28 22:58:09
0
To see more videos from user @salehe.chugaras, please go to the Tikwm
homepage.