Hiyo furaha na ikamkute kila mwanamke anaetamani kuitwa mama in Jesus name . Ameeen 🙌🙌🙌
2026-09-28 13:54:18
2491
Sophy swx ♥️♥️🥰 :
tunataka sura ya mtto
2026-09-28 11:54:18
760
Sweet ishah 💫💖 :
Furah aliekunanae huyu dada mungu ndo anajua 🥺
2026-09-28 13:20:51
597
🌸🌸Nathalia💕🌸🌸 :
Namuomb nimbebe nimenawa mikono🥺
2026-09-28 13:12:37
147
Capricon gal :
Mungu mlinde uyu dada na mtt wake 🥰
2026-09-28 12:38:10
363
fatuma Mustafa :
shangaz nataka nione sura ya mtoto wa kaka angu🤣
2026-09-28 12:29:16
95
S.S.Chimummy :
katoto kana afya kama babake
2026-09-28 13:26:32
46
African💞🦋girl :
ka bichwaaa ka baba lips za mama🥰🥰
2026-09-28 12:14:27
109
Aisha Adinani :
yes mama ollie
2026-09-29 06:16:28
0
gloriasisi2 :
Miss you to Congo
2026-09-29 07:23:12
0
minah :
wema naomba nikuite mama mkwe[Big LOL]
2026-09-28 14:58:07
4
Monika Charles :
chaa ajabu mbona mimba hatukuiona kukua leo tione mutoto tu never forever
2026-09-28 13:18:54
42
Kibali Executive Car Hire 🚘 :
mzuri Sana Amenyonyeshwa Vizuri Good job wema🥰
2026-09-28 12:16:14
202
@Erin🇿🇲🇿🇼🇿🇦🇧🇼🇨🇩 :
Our son☺️
2026-09-29 06:14:14
0
🇩🇪Bella&Kay💍🇩🇪🇰🇪 :
Mama OLLIE🥰
2026-09-28 20:31:54
1
jullove23 :
picha zimependeza Sana kamera man👍🏻
2026-09-28 13:04:15
23
kahdija Gandodrinne :
from DRC 🇨🇩
2026-09-28 16:06:42
1
Shyner :
Kifo cha Manunu kilikuwa na maana kubwa sana! Wema ana upendo mno..Manunu lazma angekosa upendo kidogo! Ndio maana Mungu akaona ampumzishe Manunu kisha Hiyo nafasi aichukue Ollie ili apate furaha ya muda wote! Jaman Mungu ni mkuu sana
2026-09-28 15:33:25
41
Dorcas N🍏🍇 :
Mungu awalinde mama na mtoto 🥰🥰🥰
2026-09-28 11:52:15
37
Natha lollo🥰 :
watt wa whozu ni wazur jmn🥰
2026-09-28 12:31:57
16
aM♌️ :
Nimeacha chuo ili niwafatilie vizur ww na Ollie 🥰🥰