@bilafilta: Kwenye kila jambo unalolifanya unahisi umeweza lifanya na kufanikiwa kwa uwezo wako wewe ama ni mkono wa Mungu umekuwezesha kuweza kulifanya jambo ilo? Kuna mtu ana amini ni nguvu zake mwenyewe 😂. Tuandikie kwenye comment section hapo chini. Bilafilta episode ya 3 finally imetoka 🔥 Episode hii imejaa topics za real-life experiences, mahusiano na ndoa, vijana kujiajiri na kuajiriwa, imani na dini, wasanii na muziki na mada zingine nyingi 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @dr_ibrachenza ▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @bilafilta au search “bilafilta” YouTube.
kuna neema hipo ndomanaa unaweza ukawa na juhudi na usifanikiwe pia neema kutoka kwa Mungu
2026-10-01 07:12:00
3
Amos9 :
"wakati na Bahati uwapata wote" [Pray]
2026-09-28 21:25:51
3
Kelvin :
muhubiri 10
2026-10-01 08:12:38
1
FIKRATUL MUHIBB☪️ :
ukisema mafanikio yako.yanatokana na.nguvu zako utakua umefel ndugu yangu.
Kuna watu wananguvu kama zako.lakini.mungu kawapa.uchizi ,upofu na vilema sasa unasemaje ww umetumia.nguvu zako
2026-11-15 20:11:05
0
Khaleedo :
Kuna watu wanabidii kuliko hata ww lkn hawajafanikiwa,
2026-11-17 03:53:21
0
Mr Edge :
neema ya wote ni afya na akili timamu bidii zako zitakuwa zako tu
2026-09-28 23:44:11
0
MR CASSIAN :
time and chance happen to them all
2026-10-01 07:10:14
0
To see more videos from user @bilafilta, please go to the Tikwm
homepage.