@mybabe2550: #viralvideo #viral #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniantiktok🇹🇿

mybabe2550
mybabe2550
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 12:49:04 GMT
79382
1548
70
1069

Music

Download

Comments

nellairahoza
nellairahoza :
The man I want 😂😂😂
2026-09-29 05:36:08
47
user7608003805972
yustin severin :
Kuna wangu hanaga muda unakufa na umbea wako🤣🤣
2026-09-29 08:19:42
14
nino.168
Nino Machupa :
Wa kwangu sasa uwa anajibu nipe shost wangu🤣🤣😂😂
2026-09-29 11:12:10
7
nayna0354
Nayna 💞💞 :
wakwangu ukimtumia sms kam hiyo atakutafuta kam anakudai haswa uwe wawapangaji wenzetu ay ay
2026-09-29 06:40:12
18
loyner.mwenda
Loyner mwenda :
huyo ni mimi kwa mpenz wangu
2026-09-29 11:48:49
1
brenda.msami
Brenda Msami :
supportive husband
2026-09-29 00:06:51
5
chalety3
Maya_knty :
me wangu ana nipa buku buku kila siku apate news
2026-09-29 10:15:41
7
fadhiluna7
fadhiluna :
wanapenda umbea balaa halafu ukimwambia usiseme kwa mtu anaapia kabisa hasemi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 07:15:14
6
nasibu.ajud
Nasibu Ajud :
Ni yeye kabisa huyu , akiona sipokei simu
2026-09-29 11:10:40
2
nasrahkiss
Naah kiss 😘 :
ila ndoa bana
2026-09-29 11:17:30
1
mgayobeautypoint
Mgayobeautypoint♥️🇹🇿🇰🇪 :
Mungu nilikuomba kama huyu
2026-09-29 08:07:15
3
sheilaburund1
Sheila 🇧🇮❤️ :
ki ukweli Familia yangu mnisameh na Familia yake mumsameh pia maana tunawasengenyaga saana kwakweli sisi ni watoto wenu mtusameh tu😂😂😂😂😂😂
2026-09-29 10:47:20
2
msmage0
Ms mage💦 :
huyowangu tena ukimwambia utanipahela anasema sawa sawa😂😂
2026-09-29 09:00:51
6
naomy.john55
Naomy John :
hyu mm kabsa
2026-09-29 08:44:08
2
brinna2017
Brinah🌹 :
Me wakwangu akirud kazn kabla ya salam anataka umbea kwanza alafu mambo mengine yaendeleee😂
2026-09-29 07:09:03
7
agy0613
AgyArthur ❤️ :
Huyu ni mm kabisa Jana hiyo eti ananiambia kwahyo ntamwambia nani sasa 🤣🤣🤣
2026-09-29 08:07:01
4
happyj296
Mrs💋❤️‍🩹 :
Napenda mm
2026-09-29 08:47:05
1
jasminenyagalu
Jasmine☺️ :
🤣🤣🤣🤣 wangu kabisa huy hata awe bize vip
2026-09-29 09:33:25
1
black29dorice09
Black@dorice🥰😍 :
mm wangu anaitikia kila neno nikiongea ana itika [Tears of joy][Tears of joy][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-29 08:27:43
2
luvine65
it's lucy :
imefikia hatua akitoka kazini ananipa umbea wa oficen kwao ili tu nimpe na mimi umbea yani haezi kutulia nisipo mpa yupo tayari aulipie🤣🤣🤣
2026-09-29 09:54:10
3
t.cobrah
T.cobrah-26🐍 :
mbn ni mume wang uyo 😂😂😂😂😂
2026-09-29 09:07:37
1
fareeda.fff
Fareeda Fff :
au akikupigia simu kama hamna story mpya anakuuriza una umbea gani mwenzangu basi tu ili mradi mtete😃😃😃😃
2026-09-29 09:21:51
2
user50469982112595
L.E. Rimoy❤️❤️ :
mungu nipe kama huyu baba🙏🙏😂😂😂
2026-09-29 06:03:57
2
vicentkessy20
vicentkessy20 :
apo nimetoka kwenye kipindi nikasema nipigie..😂😂😂✌
2026-09-29 08:48:21
1
kingsignpro
kingsignpro :
shahaaha tuliwahi fikia hii situation ila saiv hatupo tena ,
2026-09-29 09:09:21
1
To see more videos from user @mybabe2550, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About