@cawabemedia_: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka viongozi wa taasisi za umma kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na badala yake kuelekeza fedha katika kuwawezesha vijana kwa kuwajengea uwezo na kuwapa uzoefu utakaowasaidia katika maisha na ajira. Ndejembi ametoa wito huo leo, Septemba 28, 2026, wakati akifungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum 2026), kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha. Amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma kutumia rasilimali walizonazo kwa ufanisi na kuhakikisha matumizi ya fedha za umma yanaelekezwa katika maeneo yenye manufaa kwa wananchi na maendeleo ya Taifa. Katika hotuba yake, Makamu wa Rais amesisitiza pia umuhimu wa kuwapa vijana fursa za kujifunza na kupata uzoefu kupitia taasisi za umma, akieleza kuwa uwekezaji katika uwezo wa vijana ni sehemu muhimu ya kujenga nguvu kazi yenye ujuzi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. C-CEOs Forum 2026 imewakutanisha viongozi wa taasisi na mashirika ya umma pamoja na wadau wengine kujadili namna ya kuongeza ufanisi, tija na mchango wa taasisi hizo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 12:58:33 GMT
117102
6350
425
193

Music

Download

Comments

kelvin_mlowosa
Kelvin Mlowosa :
Smart Mind🫡
2026-09-28 15:03:11
0
paulj8911
Paul Joseph :
nkama hawajamkanya juu ya kuongea ukwel
2026-09-28 13:39:03
32
moustaphiddy
Moustaph Iddy :
Kama Unaloliongea linatoka Moyoni Mungu akutumze muheshimiwa
2026-09-28 14:06:31
49
p825142
p gangstar :
Quite president ,Big salute to you.
2026-09-28 15:15:52
0
japharyanthony
Jeff :
a few moments later.😀😀😀😀😀😀
2026-09-28 15:17:09
0
otweve10
oscar tweve :
kuna kitu kukisema hapa kimoyo moyo ila mimi sijui ni nini😂😂😂
2026-09-28 14:19:19
14
chabara.simon
Chabara Simon :
mzalendo wetu....God blesses you
2026-09-28 15:29:59
0
denno7608
Denno :
mawazo mazurii sana sanaa , vijan ndiyo waliyo shikilia nchi
2026-09-28 14:09:22
6
seilaxbashall
Seilax Bashall :
baba unanazna vizuli
2026-09-28 15:48:08
0
opetmlay
Martin mlay :
😂🤣
2026-09-28 13:45:35
13
alpha_m49
Alpha :
eywaaaah ✌✌✌ mr president
2026-09-28 13:43:11
0
ammyboy78
👑king_G🌹 :
mbona hii hesabu ipo waziiiii 🤒 kwani nani anachelewesha mpango wa makamuu ??????
2026-09-28 14:52:18
3
saidiyasinichitaw
side boy :
hahahaha. apo anaona kama anapoteza mda tu
2026-09-28 14:03:34
5
mwinuka.the.geniu
Mwinuka the Genius-(MtG) :
MAMA SAMIA MAMA ANGU MIMI HAPA UMETEUA JEMBE EEEEEH SAFI SANA
2026-09-28 15:17:40
2
denisjulle2
denisjulle :
makam hongera kutuongelea ila isibakie hapo kwenye kikao🤣
2026-09-28 14:34:31
4
peki213
peki :
mzee chande kamind kinoma
2026-09-28 13:52:11
3
3m2751
3M :
Fanya kazi kaka tupo tunakuangaliaa
2026-09-28 14:14:00
3
syrivestre
sylvester :
Makam anakitu nimemwelewa ila inakuwaga tatizo huku chini hata samia ukichunguza hana shida shida hawa watendaji hawana uzalendo
2026-09-28 15:15:47
2
davex976
Davex :
Mawazo yenye tija sana, sijui kama ccm wanayataka 🤣
2026-09-28 15:16:04
1
sakunaadam818
Sakuna Adam :
wewe ndo kiongoz wa kwanza kutoka ccm mwenye uchungu na watanzania nakpnda san
2026-09-28 13:53:06
1
pallangyo.olay
pallangyo.olay :
kwenye kubana matumizi.muheshimiwa.hapo safiiii..tusilimbikize hela nyingi kwa watu wachache.tugawane kidogo kidogo...
2026-09-28 14:57:40
1
senzoboy09
senzo :
Akili nyingi na Neema ya kweli 💪💪💪 VIVA MR.NDEJEMBI 💪💪
2026-09-28 13:48:17
4
oswedi.sai
oswedi sai :
tatizo mnatupanga kwenye media lakini kiuwasilia vijana hatusapotiwi
2026-09-28 14:18:33
3
ashrafshaban765
Ashraf kidula⚡ :
maneno tunatamani kusikia vijana kwa viongozi wetu
2026-09-28 13:44:44
4
sirioil5
SIRI OIL 🫒 :
makamu tunae natunatamba nae
2026-09-28 13:19:56
2
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About