@moisarivyombo01: #fyp #viral #blowthisup #trending #famous

Moi Vyombo Bei Rahisi🇹🇿
Moi Vyombo Bei Rahisi🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 13:15:00 GMT
113281
2975
223
1926

Music

Download

Comments

nimahofficial22
nimahOfficial :
mbona imetoka mbaya ivyo🥺
2026-09-29 07:08:52
96
miriammalwa
💮Milly💮 :
Chapati ngumu kama maisha yangu
2026-09-29 07:48:33
16
themodestascuisine
themodestascuisine :
Hazina layers
2026-09-29 09:28:56
0
anwar_anwar24
ANUU :
kwahio naona mmeamuwa kutoa photocopy za chapati hebu mnishushe hii Dunia 👊😂😂😂😂
2026-09-29 09:09:42
32
jafarihabibu793
Jafari Habibu :
mnapatikana wapi wazee? yn mkoa gani
2026-09-29 11:40:13
3
tjx.xm
TJX :
printer
2026-09-29 11:04:42
1
mrsnyanzel23
yuna store :
ndio maana tunaumwa figo wallah maana wazee wetu walitumia mkaa na kun ila sasa hv kila kitu mashine
2026-09-29 05:40:43
30
moeenpee3
Moe en Pee :
haiwezi tengenezea layers
2026-09-29 07:59:44
1
aikah2010
Aika :
chapati iliyotoka aijanishawishi hapana baba hii wape wengine
2026-09-29 06:53:13
6
254ldy
Slim :
keee chapati sitaki ikande tuu
2026-09-29 10:09:26
1
username_zaynab
zaynab🧕 :
wakishua wasioneee hiiii🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 09:04:37
1
queen.anaya91
Queen Anaya :
iyo mashine inawafaa wasio jua kupika chapati ila me apana mana nishafundishwa kupika chapati [Tears of joy]
2026-09-29 06:30:31
15
ellah2540
𝐒𝐭𝐞𝐥𝐥𝐚 🦋/ 스텔라 🦋 :
Mmmh hpn asee
2026-09-29 04:32:30
6
mr_operatortz
Mr Operator Tz :
sioi tena
2026-09-29 08:24:52
1
quynhlemanh4
@Qu^yne' hErSeLf 💕🥰 :
au wanamaanisha inababua manda za shawarma 😭😭😭
2026-09-29 09:46:36
1
user3953386191151
MOMY RAMA🔥🔥 :
naipataje
2026-09-29 07:29:04
1
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
lazima niinunue
2026-09-29 06:43:32
1
nabzy.0
Nbzy_art👩🏽‍🎨 :
Is it available?
2026-09-29 07:10:06
1
steven.costa27
Steven costa :
kwa style hii nitapata kazi wap kama kilakitu kinafanya mashine
2026-09-29 07:37:20
6
jay.rom0
Jay rom :
Duuuh😂
2026-09-29 09:03:45
1
canalzombie0513
The public.....🕷️ :
Naona mbeleni sasa. Nguvu kaz itakua ya usiku tu. [Tears of joy][Broken heart]
2026-09-29 09:59:58
2
little_dangote1
🌴Little_DR🌴 :
hapana nitakanda tu mwenyewe😂 na kupika
2026-09-29 09:50:13
3
esther.elija
Esther pre🥰joline❤ :
AI au
2026-09-29 05:02:12
2
ayisha_suleiman
It's me Aisha🥰🦋 :
photo chapati mashine
2026-09-29 06:52:13
1
nashally62
nashallyOg🤓 :
Watoto wetu watakua hawafanyi kazi kbsaa na kupika itakua mtihani kwa style hii
2026-09-29 11:37:36
1
To see more videos from user @moisarivyombo01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About