imagine me sikuwa najua😂😂😂😂ila nmesha heal 😂😂😂nme move on ,nika let it go😂😂😂
2026-10-02 02:58:31
1
Jessie❤️ :
Nilikuw hvyo nilikubali na nikamuacha saiv na enjoy life vepeeeee😂😂😂😂
2026-09-30 05:43:53
48
Judy 🥰🥰 :
mtu anaanza kukupenda mwenyewe lkn anakuja anabadirika Hana mda kbs inaumiza sana adi anakublock bila kosa jmn😭😭
2026-09-30 08:35:30
11
arafa omy :
wangu anaonekana kabisa anipendi m hua namwambia kabisa bhn m nakuona kabisa unipendi bc tuachane ila hataki hata kusikia swala la kuachana ila hana mda namm
2026-09-30 20:24:35
4
Dully breezy 🧢🔞 :
unakuwa unajisemea kimoyo moyo atakuwa ananipenda kwa mbali bhn😂😂😂
2026-10-01 13:23:53
2
jackirin 💨💨🍗 :
umejuaj
2026-10-01 04:11:04
1
Man Dosinga :
shida unakuwa umependa na unaamin maybe hii kitu itachange na itakuwa sawa na what ina happen ndo inakutoa roho kabsa......
2026-09-29 21:31:04
6
GRACIOUS.P.❤️ :
Siamn Kama niliwez ku move one aseeee nkuaa siez kanblock kilaaa konaaa Ila mm niliazmaaa cm mtaaa mzm nimtaft sahv ninaaa wiki y 3 nikikumbkaaa kuhus yey nachekaaa t😂😂😂
2026-09-30 18:05:28
1
Noble :
inaumiza sana
2026-09-30 09:26:58
1
💕cathyboo🦋💕 :
Namshukuru Mungu nime heal tayar
2026-09-30 07:58:32
1
esha jay :
nishamuacha mpk saiz nikimuona nasikia kutapika kabisa ila ilikuwa ngumu sana hiew elewa
2026-09-30 09:22:50
5
user8420317743982 :
huwenda inawezekana😳😳😳😳
2026-09-30 20:10:46
1
….Mom modric 🦋❤️ :
Na sipendwi kweli ila nafoc tu ila kwasasa naenda kukubalian na ukweli
2026-09-29 13:33:20
5
Diana's :
Bora nipingane na ukweli ila maisha bila pesa siwezi vipenzi 😂😂😂😂
2026-09-30 21:04:29
3
officialShekhina🥰♥️🦋❤️ :
😂😂😂 hat sjui nmecheka nn😂😂
2026-09-30 15:10:18
1
Groly💙g :
2026-09-30 06:51:07
2
Jeni Mwangosi :
nitafanyaje sasa😁
2026-09-30 09:37:42
1
Humble girl, :
huu wimbo unaitwaje
2026-09-30 16:30:59
0
ZULEKHA ❤️ :
nataman nipate mtu anipende wallah😩
2026-09-29 16:51:57
3
ENA COLLECTION 👗👡 :
ila mapenzi basi tu hauwez kuelewa kama hajakukuta makubwa 😭😭 mimi kufosi ndio nmeshindwa kesho narud kwetu😂😂
2026-09-29 19:27:32
4
lulu ❤️ :
2026-09-29 18:33:01
1
Arafa Salamu :
nilikua ivyo lakini asaivi niko poa kabisa😁😅
2026-09-30 10:31:01
2
🦋Jeniffer🦋 :
imenibidi nikubaliane2 naukwel niacheubishi
2026-09-29 16:24:41
1
GENERAL :
TANGU ASEME ANAMPENDA RAFIKI YANGU SIJAWAHI KUPONA
2026-09-30 11:49:36
2
Minnah💞 :
me sipendw na najua san Sema naforce Ila kwa sas nmeanz kuach kuforce ten 😢😢
2026-09-29 11:59:56
2
To see more videos from user @eugenevara, please go to the Tikwm
homepage.