dada yetu ktk imaan IPO vizur sana allah alupe kheri
2026-09-28 16:11:26
15
maria muslim :
kwaiyo shida kuichafua uislam nishida na je kuhusu kuichaufua ukristo
2026-10-23 14:45:45
0
IMMUDJ :
Allah akuongoze dada katika njia ya kheiri 🤲🤲
2026-09-29 05:22:11
9
Jayne last born 🩷 :
dini aitupeleki mahali mama
2026-10-19 12:56:28
0
Otti, williamu dominki :
Watakuelewa Hao na sio. Ss
2026-09-28 18:21:50
2
patriki Mathias :
kasema alitoka dini gan na kwenda dini gani dada kwahy hamtaki watu kubadili dini mbna mnatuambia tuwe waislamu wakibadili hamwataki tena vp nyie mbna hamuelewek
2026-09-29 05:01:20
1
maryamsaid462 :
MashaAllah umetushinda hata tulozaliwa nao nakuoenda sn ndugu yngu ktk uislam
2026-09-28 17:19:17
12
user2423576270825 :
kwani wewe unaona kakosea nini hapo?
2026-09-29 17:14:09
0
bintitz00🇹🇿 :
mashallah.....dada unajitahidi
2026-09-28 17:36:22
5
Aviva maswa :
dada Allah akipe Maisha malefu
2026-09-28 16:41:39
6
MALUNGO 🕋 :
sisi ikishatamka shahada nikushambulia atuna muda wa kusubiri🙏🙏twende ustadhat tumechelewa sana atuna muda wa kisubili tena
2026-09-28 17:33:04
5
Ibramovick😎 :
dada uko sawa sana,,, mimi miaka iyo nimewachinjia sana wakilisto
2026-09-28 15:33:11
4
Mayungaemmanuel Samweli :
sio ugonvi dini zote ni za allah tuelimishane kwa wema maana hatukuwepo wakati inaandikwa quoran na bibilia tunasoma tu
2026-09-29 14:39:00
0
coolant_mashine :
ndo nn yan kila mtu anadini yake nakila mtu chake ndo sahihi kuchinja ni mtu yoyote
2026-09-28 19:17:39
2
KINGLION AFRICA :
Takbiriiiii
2026-10-03 07:03:26
1
BINT YAKUBU :
DADA, ALLAH AKUJAALIE PEPO YAKE
2026-09-29 13:11:44
1
QuenJay :
Tackbir
2026-10-02 15:01:57
1
latifa kautila :
mungu akuweke kwakila laheli kipz. umajitaidi adilaha nakupenda kwajili ya allha
2026-09-29 08:39:07
1
MOMAS :
Masha Allah na Jina la Allah unalitaja kwa ufasaha sasa Dada yangu
Allah akufishe ukiwa muislamu na akupe qalima njema
2026-09-30 05:20:12
1
To see more videos from user @angelkidoti12, please go to the Tikwm
homepage.