@masandy145:

Mas And✝️
Mas And✝️
Open In TikTok:
Region: CD
Monday 28 September 2026 14:07:01 GMT
21913
561
34
46

Music

Download

Comments

namba.one.in.tanz
Namba one in Tanzania :
Colossians 2:15-17 [15]And having spoiled principalities and powers, he made a shew of them openly, triumphing over them in it. akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo. [16]Let no man therefore judge you in meat, or in drink, or in respect of an holyday, or of the new moon, or of the sabbath days: Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; [17]Which are a shadow of things to come; but the body is of Christ. mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
2026-09-29 12:58:26
0
user93229474050903
kelvin lucas :
mchungaji Hananja umejibu vizuri sana kukubaliana na utatu mtakatifu BABA , MWANA , NA ROHO MTAKATIFU NI MUNGU MMOJA safi sana
2026-09-29 11:17:46
2
chengula18
chengula :
lusekelo unatumia nguvu kueleza siku zote unazoziona nakuzifuata zote ni zake muumba
2026-09-28 17:16:14
1
petermwandu718
Peter Mwandu :
kingine mungu hachunguziki Kwa akili za mwanadamu. ukimchunguza mungu huwezi pata jibu.
2026-09-28 18:09:31
2
user5516103007398
jumaaMartin14 :
kama ndio hivyo kubatizwa ukishabatizwq basi hakuna haja ya kusali mana umuhim ni kubatizwa na kumjuwa mungu basi
2026-09-28 21:06:15
0
mateosanga571
Mateo Sanga :
hananja ndo anajua
2026-09-29 16:41:29
0
user2574050330488
love :
asante hananja u are so good jamani umenyoka kama lula
2026-09-29 12:12:59
0
nicojohn3383
Nico John :
Angalia tofauti ya shule na uzoefu wa kuhubiri tu!
2026-09-29 11:49:33
0
user1933027820061
La Lu :
Amri ya MUNGU inasemaje?
2026-09-29 05:40:24
0
mtukufu_jay_zone_
Mtukufu_Jay_Zone🙏 :
Luka 4:16 akaenda nazaleti hapo alipo lelewa nasiku ya sabato Akaingia katika sinagogi kama ilivyo kua desturi yake
2026-09-29 14:47:36
0
leonardyohana526
Leonard Yohana :
Hongera mch hanaja watu wamesahau kuhuburi injiri ya kuwapeleka mbingun wamekalia mambo ya udini na usabato.. Ole wa nchi na Bahari Yesu anarudi
2026-09-29 13:50:23
0
user32851183793
sonda :
weeee
2026-09-28 16:24:46
0
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Hananja Hananja Hananja,""milima na mabonde vitapita lakini hata yodi moja ya torati haitatenguka"".Hayo ni maneno ya Yesu 🙌🙌
2026-09-28 21:33:39
0
macha_pull
chell :
fata Amri na sheria za Mungu kama unataka kwend mbinguni, maana katika hizo Mungu ameeleza vzr maelekezo ya kuishi katika Dunia hii yenye dhambi.
2026-09-29 10:41:50
0
yohanwde64y
Nevermind ✍️🌻🌻 :
Amen
2026-09-29 11:45:35
0
mseya77
mseya Tz :
hananja abarikiwe kwa majibu mazuri y kibiblia
2026-09-28 21:36:53
0
user93229474050903
kelvin lucas :
mzee , wetu na mchungaji Hananja uko vizuri baba umejibu sahihi sana
2026-09-29 11:20:15
0
namba.one.in.tanz
Namba one in Tanzania :
wakolosai 2:15..16 mtu asikuhumu kwa siku au mwandamo wa mwezi
2026-09-29 12:56:28
0
petermwandu718
Peter Mwandu :
sawa na Imani ya mungu na sayansi ni ngumu kulinganisha na kupata ukwel. ni vyema kila mmoja abaki kwenye mstari anaouamini
2026-09-28 18:11:28
0
mrsambatz
Emanuel start :
kazi tunayo shida nn kama mtu anamwamini, Bwana yesu ndiye njia ya uzima amina
2026-09-28 20:12:21
0
user1886933742708
joseph :
imani ndio itakuponya
2026-09-29 16:59:14
0
user7359903600480
japhet ngelime :
lusekelo,hananja na anayehoji wote hawajui k2
2026-09-29 15:16:55
0
nicojohn3383
Nico John :
Mzee Hananja huwa anakuwaga ba nondo nzuri!
2026-09-29 11:39:09
0
shaha3618
Shaha :
ananja nae ajui kitu kumbe
2026-09-29 11:15:57
0
asimwedeus1
Asimwe deus :
usitupangie bwana tunajua kusali ni jumapili
2026-09-29 12:31:47
0
To see more videos from user @masandy145, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About