@jvckieseven: baada ya kutamba na wimbo wa lofa mwanamuziki top c mwaka 2012 alitoa hili jiwe lake la kuitwa usiniumize aliowashirikisha wakali diamond platinumz na sam wa ukweli. wimbo ulitayarishwa na producer MANECKY 🔥 na huu ndo ulikua wimbo wa mwisho wa top c kuonekana kwenye game.
jamaa si ndio yule wa sababu ya urofa?? wakazusha alikuwa na wimbo 1😂
2026-09-29 20:25:06
4
Andréa Msafi🫧 :
Mbona diamond hakuonekana kwenye video
2026-09-29 12:15:01
1
hajji bintum :
long time nikiwa primary 🥰
2026-09-30 04:00:35
2
samootz :
mond hapo tayali nyotaaaa Kali kuliko wenzake akawa analinda brand
2026-09-29 13:42:35
2
Joe_wasike :
Mondi🔥
2026-09-28 18:35:16
1
UKEREWE🇹🇿 :
bonge la nyimbo
2026-09-28 20:29:13
3
Abou :
Daaah hiii ngomaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 long time
2026-09-29 12:39:50
1
jay mill :
watu wanauliuliza kwann diamond akuonekana kwenye video jibu ni kwamba kipindi wanafanya audio wote watatu walikua level moja kabda nyimbo aijatoka ila mpaka nyimbo kutoka teyar diamond alikua amesha kua kimuziki na kuwaacha mbali akaamua kulinda brand
2026-09-28 21:11:13
7
CLIFF SPORTS WEAR :
Ngoma yangu pendwa kipindi hicho 2012
2026-09-29 11:12:51
4
194_cactus :
Hii ngoma nilikuwa naipenda sana dar umenifanya niitafte kwa you tube
2026-09-29 17:29:18
3
John Mlisu Tz :
hawa jamaa walijua kuimba enzi zao
2026-10-01 18:54:25
1
mwananchi :
2011
2026-09-29 12:04:05
1
Vnr9119 :
Bob maneck alikua noma
2026-09-29 19:48:13
1
Vincent sembe :
bonge langoma💪
2026-09-28 16:18:04
2
Winnie Matrix😍😍 :
I'm sure diamond kuna nyimbo zengine hajui kama ni yy aliimba
2026-09-29 01:44:23
1
Stylist4 :
Diamond alikimbia hii video😂
2026-09-29 22:20:21
1
#BMC Boss :
lkn top c akipata suport anaeza fika mbali...iyo verse yake ni moto
2026-09-29 10:44:36
1
ADAM RAJAB. :
dah kuna ngoma zingne sijawai kusikia asiee
2026-09-30 18:26:04
1
Sharon Mamake Vaddy :
nikiwa kidato cha pili.kitambo sana
2026-10-01 04:23:54
0
iddirajabu_TZ :
ya Sharomilionea bilinge bilinge
2026-09-28 16:35:00
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.