@mvoyiathuman: Hapa Kwale tumeamua gavana ni Fatuma Achani- Issa Boi, Senator,Kwale
MVOYI ATHUMAN
Region: KE
Monday 28 September 2026 14:14:34 GMT
Music
Download
Comments
mohamed mwambeni :
Madness
2026-09-28 20:21:29
0
Hafsah baeby :
We baba mm cbado Amua😂😂😂😂husiachege sana
2026-09-28 19:27:35
0
𝕀𝕥'𝕤_𝕒𝕕𝕟𝕒𝕟𝕖𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠 :
umeamua ww na nani
2026-09-28 16:58:12
1
user1054781525252 :
kwale gani ju mm niko huko na ni 1term
2026-09-28 17:52:35
1
master jay :
wwe na nani??
2026-09-28 22:31:59
0
Martoo chinyezi Chin :
wantam
2026-09-28 20:06:33
0
Manguze Said Mwamasare :
ground iko kivyengne
2026-09-28 19:35:51
0
s.mbao :
bahasha jioni
2026-09-28 20:02:58
0
hunchomohaa :
umeamua na nani
2026-09-28 19:58:47
0
Abel 54 :
😁😁😁 mtashangaa
2026-09-28 20:59:48
0
Malberry Bottegah 🍓🌼💫 :
hii kwale moja😂😂unamchezo mzee Tena mwingi sana
2026-09-28 19:49:44
0
DO ME :
wewe wewe
2026-09-28 19:32:32
0
Majani :
Umeamua na nani Fresh Term
2026-09-28 20:47:17
0
salim Rumba :
umeamua wew na nan
2026-09-28 20:17:36
0
Frankline O'michoki :
watu wa kwale wako hapa, ujumbe tutapata
2026-09-28 20:13:59
0
Mdigo mwenye🥰🥰🫣 :
usitushaur utatuchanganya
2026-09-28 19:48:17
0
Rose Salama :
umeamua wewe na nani sema mimi usiseme sisi
2026-09-28 20:01:31
0
Maggie :
wewe na nani
2026-09-28 20:35:05
0
mangongah :
kwama kuna kwale ingne apo sawa
2026-09-28 19:13:13
0
Erick Elisha :
apo Kwa Achani wakosea sasa bana
2026-09-28 18:52:48
0
Daddy jameel🤘 :
njoo inawasumbua tu
2026-09-28 23:11:27
0
Mwamasa Mwalonya :
umeamua wewe na nani
2026-09-28 19:23:38
0
Adam Luphutsu (tradaz) :
hawa qanadanganyana ground ni mbaya uo ndo ukweli
2026-09-28 18:53:59
0
user138806872837 :
kwale achani one term
2026-09-28 18:54:59
0
Mheshimiwa Nyawa :
hahahahahaaaaa!!!siasa bwana!!
2026-09-28 16:34:16
0
To see more videos from user @mvoyiathuman, please go to the Tikwm
homepage.