@drhamadatibaasilitz: #USIDHARAU: SIRI KUBWA YA MAJANI YA MTULA TULA (NDURA) - DAWA ILIYOSAHULIWA PORINI Watu wengi wanaiona porini wanapita tu, kumbe ndani yake kuna hazina kubwa ya afya. Karibu kila sehemu ya Mtula Tula inatibibu. Jina lake la kitaalamu ni Solanum incanum, na wazee wetu wameitumia kwa vizazi na vizazi. Katika Asili kila kinachokuzunguka kinaweza kuwa na faida kwako, kutegemea na jinsi unavyokipokea na kukitumia. Tumezoea kuiona Mtula Tula porini lakini wengi wetu hatujui faida zake zaidi na Leo nawaletea baadhi ya siri zake kuu. 1. HUONDOA SUMU YA KUNG'ATWA NA NYOKA Hii ni siri kubwa ya wazee wa zamani. Chuma majani ya Mtula Tula yatwange yalainike, chanja sehemu uliyong'atwa kidogo kisha kamulia maji ya majani ya Mtula Tula katika sehemu hiyo. Kusikia maumivu au kidonda kuvuta ni dalili za sumu kutoka. #MUHIMUSANA: Hii ni huduma ya kwanza ya kiasili tu. Baada ya hapo kimbilia hospitali haraka kupata chanjo na matibabu sahihi, usikae nyumbani. 2. MTOTO WA JICHO NA MIWASHO YA MACHO Andaa majani machanga sana ya Mtula Tula, yatwange vizuri kisha kwa kutumia pamba safi, pakaa nje ya kope za macho yako tu, si ndani ya jicho. Husaidia kupunguza muwasho na kutoa uchafu. 3. KIDONDA SUGU NA MAJERAHA Chukua majani ya Mtula Tula yatwange, kamulia maji yake kwenye kidonda kilichoshindikana kupona. Asili yake ina uwezo mkubwa wa kusafisha na kukaushisha kidonda haraka. 4. GESI, KIUNGULIA NA TUMBO KUJAA Watu wengi wanalia na gesi mwaka mzima. Chemsha majani machache ya Mtula Tula na unywe kikombe kimoja asubuhi kabla ya kula. Utajisikia tumbo likiwa jepesi. 5. VIDONDA VYA TUMBO (ULCER) Tengeneza juisi ya majani machanga ya Mtula Tula, changanya na asali kidogo, kunywa kwa siku 7 mfululizo asubuhi. Pumzika na vyakula vya pilipili wakati huo. 6. TATIZO LA KUHARISHA NA TUMBO KUHARIBIKA Chukua majani ya Mtula Tula yasage vizuri, kamua juisi yake, unywe kijiko kimoja tu. Usizidishe dozi, kwani ni dawa kali. 7. KINGA NA NGUVU YA MAMA MJAMZITO Hii ni siri ya bibi zetu. Chukua mzizi wa Mtula Tula uchemshe, unywe maji yake kidogo au chemsha uogee. Inasaidia mama kuwa na nguvu. Kama siku za kujifungua zimefika lakini bado hakuna dalili, wazee huandaa mzizi wa Mtula Tula vipande vidogo, wanaweka yai la kuku wa kienyeji, wanaweka maji na kuchemsha pamoja, kisha mama anakunywa supu hiyo. 8. MVUTO NA KUFUNGUA NUKSI Hii ndio wanayoitafuta wengi. Tumia majani ya Mtula Tula kuchemsha na maji yake ogea (Sio chooni, ogea nje). Pia andaa maua yake meupe, yakaushe juani, yasage kuwa unga, changanya kwenye mafuta yako ya kupaka (mafuta ya nazi ni mazuri zaidi) uwe unapaka usiku. 9. MBEGU ZINA NGUVU KUBWA Mbegu zake zikisagwa na kuchanganywa na mbegu za tikiti maji, huwa na faida kubwa ya kuongeza hamu na nguvu za kiume, na kurudisha ari ya mwili uliochoka. 10. FANGASI YA NGOZI NA KUCHAKUCHUA Hii ndio siri kubwa sana. Fangasi sugu ya mapajani, makwapani na sehemu za siri inayosumbua kwa miaka. Matumizi: Chuma majani ya Mtula Tula na matunda yake mabichi 2, twanga pamoja na chumvi kidogo ya mawe, kisha paka sehemu yenye fangasi asubuhi na jioni. Osha baada ya dakika 30. Fanya kwa siku 7. Pia chemsha majani yake ogea nayo. Siri yake: Mtula Tula ina kemikali ya asili inayoua fangasi haraka kuliko dawa nyingi za dukani. 11. MIGUU KUWASHA, KUTOA HARUFU NA KUPASUKA Watu wa viatu muda mrefu miguu inawasha, inatoa harufu na kupasuka kati ya vidole.#Matumizi: Chemsha mizizi na majani ya Mtula Tula kwenye ndoo, weka maji ya uvuguvugu loweka miguu yako kwa dakika 20 kila jioni. Baada ya hapo kausha vizuri na paka mafuta ya nazi uliyochanganya na unga wa majani ya Mtula Tula yaliyokaushwa. Katika siku 3 tu harufu inakufa na muwasho unaisha. 12. KUONDOA MIKOSI, NUKISI NA KUFUNGUA NJIA Hii ndio inayowatafuta wengi. Kama umefanya kazi kila mahali hupati, pesa haikai, watu hawakubali, umeloga au umefungwa. #Matumizi: Chukua majani 7 ya Mtula Tula, maua yake meupe 7, na mzizi kidogo. Chemsha kwenye maji ya lita 5 usiku wa Jumanne au Ijumaa. Acha ipoe. Kesho yake asubuhi kabla ya kuoga #255793889562
Dokta.hamada.msemakweli
Region: TZ
Monday 28 September 2026 14:27:07 GMT
Music
Download
Comments
maisarathabit4 :
Kabisa
2026-09-28 17:10:01
0
btfly🦋 :
asalam
2026-09-28 21:39:34
0
btfly🦋 :
Dr majan. yamtula 7na mauwa 7 na mjzizi kiasi kuchemsha alafu ipowe alafu kuondokeya jumanne asubuh ama ijummah asubuh tuifanyeje hikumaliziya kuoge ama kuifanyaje
2026-09-28 21:41:56
0
btfly🦋 :
tufahamishe kwa hisani yako
2026-09-28 21:42:25
0
To see more videos from user @drhamadatibaasilitz, please go to the Tikwm
homepage.