Abdulrahiim Mpemba
Na masha Allah alizaa watoto wengi sana na alimiliki vitu vingi sana.
Alimiliki nyumba magari na watoto wengi tu mpaka sasa wanayo nyumba pale manzese hadi leo.
2026-09-28 16:46:57
13
user2668547380020 :
Allah awalipe Jannat Firdaus
2026-09-28 20:07:45
7
user37077196190302 :
hakunashekhe
2026-09-28 17:34:23
1
Mwandege :
Hili la kuchati vijana wengi wa enzi hizo tulitembea sana na ilikua kawaida. Hatosomi ndani kuna nini. Unaempelekea unamuona anasoma anatabasamu, anageuza barua nyuma anajibu unarudi. Kama Gen Z wakipewa zama hizi watasoma tu habari za wazee wao.
2026-09-29 03:34:29
1
Guy emedi :
Allahu Akbar
2026-09-29 06:41:52
1
Omar Kanyaki :
nimetamani nikanywe juisi hapo mamboz
2026-09-28 20:08:53
2
Masoud Abdullah :
mtaa wa libya ndio mpaka leo juice ya miwa ipo
2026-09-28 21:16:46
2
Halima Suleiman :
shekhe unanikumbusha mbali sanaa yalikuwa maisha yetu sisemi haa wazazi wetu mwenzi mungu hawaleem Amini
2026-09-29 05:32:19
1
Iq@ :
Wallahi najiskia raha sana kwadarsa
2026-09-28 20:19:51
1
Fatuma Mohamed Ali :
Allah awarhamu wazee wetu wote walotangulia yaraabi
2026-09-29 06:02:46
0
itssomoe :
mimi. baba angu. alijua. kutuzaa. dada. ake. ndio. wa. kulea
2026-09-29 07:33:31
0
Eddy Charming74 :
Allah awarehemu
2026-09-28 15:12:36
2
Halima Ahmed :
mashaalah
2026-09-29 08:41:58
0
maraone_technology :
Ipo pale mpaka wa leo, wallah ndio sehem pekee nakunywa juisi safi ya miwa,,, dah kumbe ya longi
2026-09-28 17:29:07
2
rashdamahuwile :
M.Mungu ajaalie na wajina wake kijana wangu mimi Abdulrahiim na ndugu yake Abdulrahmaan INNSHAALLAH
2026-09-29 08:53:45
0
tumaini lymo :
libiyq
2026-09-29 06:06:13
0
Juma75 :
mtaa wa libya jirani na mamboz
bado duka lipo mpk kesho
2026-09-28 18:17:36
1
Sarah Karim :
Allah Awarehem
2026-09-28 16:50:36
0
toxic_mast3r :
Ameen Ameen Thumma Ameen Yaa RABB
2026-09-28 17:11:06
0
Albashar Mgwami :
mashallah
2026-09-28 18:04:31
0
Kamalu Jafary :
Allah awarehemu
2026-09-29 06:04:07
0
chuma :
allah akupe umri mrefu[Pray][Pray]
2026-09-29 03:34:30
0
Amina Habonimana :
yani wey ndo ulikuwa connection
2026-09-28 18:37:50
0
zahtweet :
🤣🤣🤣
2026-09-29 03:55:24
0
J :
dah ukweli malezi ya leo yamebarika sana ukilinganisha na zamani
2026-09-28 15:15:45
1
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm
homepage.