Mimi na mama Amina tofauti yetu ni kuongea tu 😂 mama Amina achan na mapenz
2026-09-28 18:38:29
244
Ami babye🥰 :
Leo mim wakwanza kwa mama amina nipeni mauwa yangu
2026-09-28 16:11:40
176
Baby girl😘 :
mtoto wawatu mapenzi yana mtesa
2026-09-28 16:58:14
131
#maelekezo#🇿🇦 :
iyooooo leo iyooooo
2026-09-28 16:38:46
67
mpembamayunga :
kama mama Amina ana wivu Mimi nani 🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 06:14:47
5
angel angel :
😂😂😂😂😂 daaa ila mam amina anapitia meng
2026-09-28 16:45:58
26
Jackline 🥀 :
Hivi ma amina si uachane namapenzi tu jaman
2026-09-28 17:55:32
19
Rachel mbila :
kama mama Amina anateswa na mapenzi Mimi ni nani aswa mpka nisiteswe🤗🤗🤗
2026-09-29 10:52:22
10
️ :
ila raia sio watu wazuri wanamuibia hadi Mama Amina😁
2026-09-28 19:16:35
31
Itoo IJ 47 :
nimecheka tuxi 2 kachungulia afu hilo tuxi xax
2026-09-28 17:28:30
11
@ray_jackson5 :
:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-29 21:17:28
22
Tashu collection :
😂😂😂😂😂😂Dah simu niliweka sauti kubwa na Nipo na watoto
2026-09-28 17:47:12
6
DITRICK D.MBILI :
Mama amina doumbia
2026-09-28 16:43:59
25
To see more videos from user @mamaamina.com, please go to the Tikwm
homepage.