Akika ktk history ya Tanzania uyu mtu tuta mkumbuka milele na milele,mpigania haki 🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-09-28 21:21:00
80
dollyb :
Namuonea huruma sana huyu baba jmni🥺
2026-09-30 09:55:25
11
Mwasiti Hussen :
Mungu wetu halali.
2026-09-28 17:13:06
28
Editha Kokuberwa :
Mungu usinyamaze, we ndo uonaye ndani mwa kila mtu
2026-09-29 04:43:48
39
JUZZORHD :
REAL GOAT👑👑
2026-09-29 05:27:26
12
user3838341295563 :
Mungu Akutunze lisu🙏🙏🙏
2026-09-29 05:53:33
6
joy02 :
ila nikimwañgalia huyu baba anatabasamu lakini anamaumivu ila mungu ni mungu wahaki hatonyamaza
2026-09-28 20:01:21
33
N :
nachoamin Mungu almtoa daniel kwenye simba wenye njaa kali akina meshack shendrack na abelnego akawatoa katika tanuru la moto hakuchoka akamsaidia daud kwa goliat bhas na lissu atasaidiwa
2026-09-29 13:35:57
5
faraja :
Mungu wa haki yupo atakupgania tu
2026-09-30 18:59:27
2
Ture Man😎 :
Mwenyezi Mungu Akawe Mwamuzi Wa Kesi hii ya Dhuluma Kwa Mwenyekiti Jamani Duh 💔😭
2026-09-28 17:16:03
19
mwile :
kabisa baba
2026-09-28 17:46:59
4
lostboy gs :
kwa bahati mbaya anaotupigania tulioweng bado hatujatambua uwepo wake
2026-10-01 07:02:07
1
Op Mwisho :
natamanigi ungekuaga baba yangu😅
2026-10-01 05:28:22
1
user5619415930561 :
ushindi upo
2026-09-29 08:58:12
4
Carmelitha Stanslaus :
isaya 41:10. (kinywa cha mungu hakineni uongo.usiogope baba.)mungu atakushika mkono kwa mkono wa kuume wa haki yake. amini tu. tunaendelea kukuinua kwa maombi.
2026-09-30 20:40:23
2
Biman :
Dah ni kama yale huwa tunaona kwenye movie yanatokea, mtu anapitia shda kibao af badae anakuja kuwa kiongozi mkubwa, Free Lisu Demokrasia itawale MUNGU ibaliki Tanzania🤲🏻🤲🏻
2026-09-29 07:55:57
6
Kassimu Ramadhani :
watakauruma
2026-09-29 14:51:03
1
japhet.urassa :
wakati wa mungu ndio wakati sahihi mheshimiwa raisi wa tanzania badae ata kama hutakua wewe basi itokee mmoja wa family awe kiongozi mkubwa wa tanzania tu mungu ona ombi langu mtoto m batiswa