@mentalwellness_tz: Watu wanapoona mtu anafanya kazi zake vizuri wanadhani yuko sawa ndani pia. Hii sio kweli kwa wengi wetu. Utafiti unaonyesha kwamba asilimia kubwa ya watu wazima hawana vocabulary ya kutosha ya hisia; wanaelezea kila kitu kwa “niko vizuri” au “siko sawa” bila kujua kuelezea zaidi ya hapo. Na hicho sio kitu cha kuonea aibu. Ni kitu ambacho hatukufundishwa. Shule zinatufundisha hisabati. Lugha. Historia. Lakini hisia; jinsi ya kuzitambua, kuzitaja, na kushughulikia? Wengi wetu tulijifunza peke yetu. Kwa makosa. Kwa kutazama wengine wanavyofanya. Na lugha unayoitumia kuelezea hisia zako inathiri jinsi unavyoshughulikia hisia hizo. Tafiti za kisaikolojia zinaonyesha kwamba kutaja hisia kwa usahihi kunapunguza nguvu yake kwenye ubongo moja kwa moja. Yani, kujua tofauti kati ya “nimechoka” na “ninajisikia frustrated kwa sababu ninahisi sijui...” sio maneno tu. Ni nguvu halisi. Hiki ndiyo kitu nilichotaka kujifunza mimi personally. Na sasa ni kitu ninachofundisha. Je, kuna hisia ambayo hujui jinsi ya kuielezea hata kwa nafsi yako mwenyewe? DM ‘HISIA’ tuzungumze. #selfawareness #tiktoktanzania🇹🇿 #viralvideo #tiktokviral #psychology
hii ni hali ninayoipitia kwa sasa, najiona siko sawa kabisa nina hasira za hapa na pale sometimes natamani kulia, natamani niende sehemu ambapo hakuna watu nikae mwenyewe lkn sijui natakiwa kufanya nini ili niwe sawa kwani hii hali siipendi kwa sababu nalazimika kuonesha kwa watu kwamba niko sawa kwa kuwa siwezi kuwaelezea navojisikia.
2026-10-02 08:22:01
8
happie_basso :
Mi naomba kujua umesuka wap
2026-09-28 17:21:02
2
Rachel Gombe :
Ata me
2026-11-09 07:27:37
1
Amina Hussein :
Mimi hasira ndo zinanitesa jamani
2026-11-06 18:52:16
1
Irene emmanuel :
naomb namb dada ww utaniponya mana ata mm sijielewi Tena nn nataka na nn najisikia yani najiona kama mfu hai
2026-11-14 11:25:10
0
@D_Billiget :
this is me kwakweli
2026-09-28 19:25:53
2
Depper🍑👑 :
Unaamka akili huelew inauma au imechoka😭
2026-09-30 22:33:47
1
salha1992 :
my situation
2026-09-28 19:43:13
2
Irene Mrema :
Shida ni kwamba nikisema labda najisikia vibaya mtu anataka nimulezee kitu ambacho mimi mwenyewe sitaki ajue zaidi hapo nifanyeje dada
2026-10-07 11:29:14
0
zeynabpontia :
nakupenda bure
2026-10-12 06:55:27
0
Ms.Lorah :
Thank you🫂
2026-10-01 11:29:07
1
@D_Billiget :
🥺🥺🥺
2026-09-28 19:26:16
2
thebosslady988 :
Nataman nipate fundi mkali sanaa wa suti za kushona stlye ngumu ngumu na ambaye hataniletea mashauzi nitaka nguo zitakazostu moyo wangu tafdhar nipo Tanzania❤️❤️
2026-10-07 11:36:24
1
To see more videos from user @mentalwellness_tz, please go to the Tikwm
homepage.