bado hawaoni wema na upendo wa serikali yetu wanavyotaka tuje tupigiwe hodi kwenye nyumba na rais atupe mapolo ya mchele na pesa ndio waone maendeleo wakat mtu ana watoto wa 4 tu ndan na kasoro kibao majukumu hayatimiz mpk ya kidini hasimamii kma alivyosem Mtume je Rais anaeongoza nchi yote na ni binaadam ameumbwa hajajiumba Mungu amueke dr Mwinyi na amlinde na Akamueke katika nafas y viongoz waliongoza vyema waongozwa waoo Amiin[Red heart]
2026-09-29 03:33:47
0
Princess Al-Jabry :
Kumekucha
2026-09-28 20:18:08
0
Mr D. Done :
Nakuomba dua yakukute ili ujue tunang'ang'ania nini ila pia nakupongeza kwakupongeza watu wenye uwezo wa kusema ila kutekeleza wa nakwenda kinyume
2026-09-30 00:16:22
0
Rashid zanzibar tour :
huyajui yaulize uambiwe
2026-09-29 04:40:30
0
Muhammed Ali :
2026-09-29 08:53:20
0
Heri Hamoud :
like 19 😁
2026-09-28 20:57:33
0
Seif Binjadur :
Dogo acha uchawa , shida iliyopo baadae hizo nyumba zinawekwa watu wengine na referance zipo baadhi ya sehemu wamefanyia hayo.
2026-09-28 20:49:31
2
Marzain~🤗💦 :
Sasa unaongea ukweli wa mana kisha mtu anasema sema maronya wajameni mtuache 😆
2026-09-29 15:33:49
0
user9241046230345 :
huna jipya tusubiri tuyaonee km yatarudi kwenye mikono yaoo tenaa hayoo
2026-09-29 13:00:20
0
Tollegence :
linda mgongo
2026-09-29 14:54:38
0
da zuu :
c bure una lako jambo
2026-09-29 17:59:04
1
Khayriya Salim :
😅😅😅😅😅😅😅
2026-09-29 09:14:32
0
zindux :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 16:49:06
0
To see more videos from user @abdulimrantz, please go to the Tikwm
homepage.