@mc_mgema: Tuliwauliza wanafunzi swali moja lililofungua ukurasa wa kumbukumbu: Ni mwalimu gani ambaye hutamsahau mpaka leo—na kwa sababu gani? Majibu yao yanaonyesha kuwa nyuma ya kila mwanafunzi aliyefanikiwa, kuna walimu waliowahi kutoa malezi, kusimamia nidhamu na kuacha alama katika maisha yao. 🎤 MC Mgema — tunageuza matukio ya shule kuwa burudani, kumbukumbu na content yenye thamani. #islamicwedding #cooparateevents #islamic_video #isalmic
MC_Mgema
Region: TZ
Monday 28 September 2026 15:36:45 GMT
Music
Download
Comments
Bwam muu :
Allah bless you madam safina na Mashallah kwa teacher festo na skul nzm Allah bless you
2026-09-28 19:16:43
0
Asnat :
darasa la ngp kwani jmn
2026-09-28 18:00:39
8
ابنة العالم :
uko wapi iyo shule
2026-09-28 16:32:01
8
M_issah!! :
Mbona wazuri wote😅😂
2026-09-28 20:00:52
8
Juliana Darabu :
mnachukua watt kuanzia umri gano
2026-09-29 05:38:10
2
lamela :
hii shul mbn wazuri wote
2026-09-29 04:58:45
2
user90030099009202ukti dii :
ipo wapi.wap.shule.iyo
2026-09-28 17:37:46
4
beach gril :
wapemba jmn wazur
2026-09-28 21:22:03
1
Amida Akimu :
hongeren wadogoo Zang
2026-09-29 10:27:10
1
user446532526120 :
inaitwaje hiyo shule na iko wap
2026-09-28 20:08:47
1
Samiati inayat :
mnachuku watot wa. umle gan na shule iko wap
2026-09-29 09:29:38
0
💞Mrs someone💫💦 :
kwahy mpka uanze na ngeri mwanetu c ndy
2026-09-28 17:18:18
3
abdulaken 10 :
wabaya hawapelekwi kwa hii shule nachoka Mimi
2026-09-29 09:32:23
0
🦋 Amycute🥀 :
😅Mashallah mmependeza
2026-09-28 17:19:36
5
joharymic🥰🥰 :
hii shule na primary na secondary na ada zake vip nimlete bint yangu na Ina bweni pia ni Islamic only or
2026-09-29 05:44:59
1
Feiyou Ramia :
boys wapo wachache hii shule
2026-09-28 17:20:52
0
Amijurat Dady :
Masha Allah
2026-09-29 05:01:16
2
Lulu Ramadhani :
mashaallah🥰
2026-09-29 03:53:05
2
WAZIRI WA MITANDAO :
ambao sherehe za kumaliza form four tuliziona mtandaon tujuane
2026-09-28 19:13:57
3
kimB :
wamependeza sana jaman
2026-09-28 17:49:59
4
user90030099009202ukti dii :
mashalh.mmependez.san
2026-09-28 17:35:21
1
Amina Fashion 💕 :
2026-09-29 07:02:58
0
🌹🌹zehra :
mashaallah, madam safina
2026-09-29 11:51:02
0
kichuna :
ipo sehem gani
2026-09-29 10:50:58
0
أختي عائشة الحمدالله 🌟💫⭐️✨️ :
ada yake ikoje
2026-09-29 11:35:52
0
To see more videos from user @mc_mgema, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.