@ticha_fungo: Wanafunzi Wangu Wapya Wakijitambulisha Kwa Wanafunzi Wangu Wa Zamani 🔥 Zaylisa @zaiylissa anasoma la IIIC Mulk @official_mulky la IVB Dolly @dollyrestie la V na LisaActress @lissahactress la VI 🔥🙌💯🤝❣️ Asanteni Dada Zangu Kwa Upendo Wenu Maana Mmekuwa Faraja kubwa sana Kwa Misaada yenu mliyotuletea Walimu na Wanafunzi wote Tumenufaika na nyinyi Watanzania wote Wameshuhudia kupitia clip za wiki iliyopita 🤝@theroyalcircletz 🔥🔥 #SupportVipaji #Charity #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper
Ticha Fungo
Region: TZ
Monday 28 September 2026 16:09:46 GMT
Music
Download
Comments
G msangi :
Mimi naitwa dada zailsa nasoma la tatu c memkwa 😂😂
2026-09-29 05:34:12
9
nasra :
kazi ipo[Tears of joy]
2026-09-29 05:46:22
0
ᎮᏒᏋᏖᏖᎩ~ᏬᎷᏬᏂ💞✨ :
mbona mamb mazur yanatokea s tushamlz jmn
2026-09-28 18:09:16
21
wardah 💞💕🤘🤟 :
why C zailisa 😂😂
2026-09-29 02:45:48
0
Mr DAIMOCK :
wa2 weeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
la3c wamepata pc.
2026-09-28 22:52:08
0
LINGLONG KASHATA KUBWA AKA MKT :
hii shule ipo mkoa gani
2026-09-28 16:27:06
21
DA ZUU🥰🤘👊 :
femi anacheka[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-28 17:55:18
0
Nafsa Hamis :
apo watt wengne wameamini[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-28 23:31:57
0
tambarose :
zaylisa 🥰
2026-09-28 18:36:04
0
Aliera 💦💫❤️ :
a few moments later 😂mama leo kuna wanafunzi wapya wamekuja shule wazuri awo wakubwa kama ww😂😂😂
2026-09-28 18:01:36
19
nay toto :
watoto wanaona wasanii bure😂😂
2026-09-29 04:18:02
0
Sasha luxe👑🧚♀️ :
Wanafunziiii wa miakaa hii wanaenjoyyy kweliiii
2026-09-28 17:32:00
14
Shomy bby🥰🥰 :
hii shule inaitwaje
2026-09-28 19:06:52
0
Lightone :
huyu anaesukuma wenzie ili awaone wanafunz wapya ni Mimi kbs
2026-09-28 18:31:10
6
user432607027573 :
🤣🤣🤣 wanafunzi wapya warembo kwel
2026-09-28 17:30:53
3
Scholah Lyimo :
latatu c wamefurahi haoooo
2026-09-28 20:59:18
2
NTUZU OG :
hii ni nzr sana inatia moyo kwa watoto wetu
2026-09-29 04:00:40
1
macknovic :
La Tatum
2026-09-28 16:50:58
2
my mary Temba❤️❤️ :
mimi bado daftali jumatano nareport na miaka 26 naomba niwe darasa 2 😂 Asanten
2026-09-28 16:29:04
3
PRIEST FESTO SILLA :
2026-09-28 16:19:32
1
user4265312935694 :
dor kaskert kazur
2026-09-28 16:38:04
1
ma prince🌹🌹🌹❤️ :
wanafunzi gani?? 😂😂😂😂
2026-09-28 16:55:46
1
Jnation :
sauti aKuna ticha
2026-09-28 16:40:49
1
nasra :
2026-09-29 05:46:33
0
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.