@rishmamy:

Rishmamhenna
Rishmamhenna
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 16:15:12 GMT
53963
2430
710
35

Music

Download

Comments

user1803155051381
MAM SHUU&HUU :
KUOLEWA. bola ningejikalia mwenyewe single tu😅
2026-09-29 05:44:42
21
rauthaty373
Rauthaty🌺collection :
Kumpenda mtu Jmn 🥺🥺
2026-09-28 18:43:17
39
stashaogora
stasha ogora :
Leo ctk kujiongelea me ila nitamuongolea mam nataman mam anguh axingekutan n bab anguh 🥺 nataman ata kulia jmn 😭
2026-09-29 06:44:07
65
harukhanbackup
♛ HARU BACKUP♛ :
kutomwamby mama yangu nampenda sana kuliko chochote 😭😭 rip my mom and im miss 💔
2026-09-29 05:07:27
71
mydahsuleishy
💦𝗠𝘆𝗱𝗮𝗵 𝘀𝘂𝗹𝗲i𝘀𝗵𝘆🖤 :
Kuna vitu uwezi ata kuvielezea kwa watu kuna watu natamani misingekutana nao kwenye maisha yangu🥹
2026-10-06 09:22:42
6
rishmamy
Rishmamhenna :
Kila mtu anamaumivu,🥺 nakumbukumbu zinazo muumiza ndani kwandani inabaki kuwa siri baina yake yeye n ALLAH, Muhimu nikuwa nasubra kwa kila unachopitia kwan ALLAH yeye pekee ndoanaye jua Hatima yetu.Unaweza kupenda kitu sana kumbe nishari kwako n unawez kukichukia kitu kumbe ndokher kwako cha umuhimu ni kumuomba ALLAH atufanyie wepesi kwakila hatua tunayopita n Atuzidishie SUBRA .japo inauma ila unatakiwa ukubaliane nakila siku sey ALHAMDULILLAH
2026-09-28 23:06:49
29
shanemohamedibuge
shanejo@7195 :
kuolewa na kumvumilia mtu ndani ya miaka 5 yote mwisho wa yote wakanizaririsha na familia yake😭😭Allah atawalipa kwa kila kitu🙏😭😭
2026-09-29 05:51:45
21
suleimancholo
suleiman cholo :
kumpenda mtu kwa miaka mingi kisha akaniacha kwa siku 7 za utamu wa harusi daaah yaan hii kit inaniumiz cn kil nikikumbk sw mung yup
2026-09-29 19:30:35
5
troublemaker8692
.....🌸Baby Ollie💃🍫.... :
ningepew nafas moj ya kuchagua wazaz nisingekubal Hawa watu wanizae just imagine wako hai lakn wako bze na mambo yao nimetelekezwa nakaa yatima but I have grandma ♥️🥹 Sas walinizaa vya nn
2026-10-08 10:08:39
5
motivationspeker25
Ukhty cute❤️ :
Ndiyo hivyo muda haurudi nyuma inabaki maumivu ya ndani kwa ndani tuu 😭
2026-09-29 06:09:22
9
jacklinejailos57g
🧚‍♂️❤️jacki🇹🇿💥 :
ningemwambia mama angu abaki na mimi na wala asiniache maana hajanilea kwa nini awe mvivu wa kupumua kipindi ambacho ndo nimemjua anataka kula matunda yangu tu ilove you my dr mamy r.i.p😢😢
2026-09-29 06:17:57
18
leeflower15tz
Cancer flowers 🌺 ♋️ :
🥺Nashindwa kusema 💔😭😭😭
2026-09-29 16:41:43
2
ya.galaxy
GALAXY 🌸💎 :
🫧:Kumpenda mtu kupitiliza🙌💔😓
2026-09-29 05:49:14
12
sabrinakassim686
shorbinah harshy💝💝 :
kuwaamin watu kuna mtu kaniharibia maisha mno ila mungu ndo analipa😭
2026-09-28 20:01:05
5
kathir.bakari
Kathir Bakari :
kumwambia mama yangu nimechoka kumsadia kufanya kazi za ndani pekeangu na kutaka dogo nae afanye😔
2026-09-29 22:11:30
0
jumzarya
ZayQ🫧🐆 :
Kupenda kuliko kujipenda 💔
2026-09-30 08:01:25
2
able.tz1
Alsaid👳🏾‍♂️ :
Kumuamini kila mtu 🥹
2026-09-29 07:26:39
0
afzan878
@afzan :
kumpenda asienipendaaa
2026-09-29 08:51:22
0
biss.color
⚡✨BISS✨⚡ COLOR ✨🧢⚽ :
Kumpa mtu moyo wangu na muda wangu na nguvu yangu yote then simply 💔🥺
2026-09-29 18:46:32
0
salhakulangwa
🦋₴₱ł₵Ɇ ₴łɆⱤⱤ₳🦋 :
Kukubali kulazimishwa kuolewa jmn
2026-09-30 12:22:14
0
officialsuzy26
@soft Girl :
nimeshidwa kusema 😭😭😭
2026-10-01 07:14:15
1
bahatikisanga1
bahatikisanga418 :
Vingi tuuuu Nipe kwanza kiti nikaeee[Teary eyed]
2026-09-29 07:09:50
0
ishamzuri
Mrs Eddie❤️ :
Nisingezaa naniliozaa nao😔 ningeomba nisingekutana nao kabisaaa
2026-09-29 07:31:33
0
zunairahhassan8
muzdat hassan :
ndoa
2026-09-28 22:26:10
0
azra.ramadhani43
azra.ramadhani :
mmmh
2026-09-28 20:00:45
0
To see more videos from user @rishmamy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About