mm najuwa kilakitu ilikuwa hivi jsbsuiejsbbjsoabsbgshbdubneusososhdhzisgihsbhdidhd8ueieheunehdidpkdbhxhjdhjdjshbdhdhjdoidbdygdjkivdkgkwposbdhdhfvjdudjdhrivrjdhr
2026-09-29 17:27:10
2
🫧Ashnay🫧💞 :
Mimi bhana nipo upande wa bi harusi mtajua wenyewe😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata iweje nipo upande wa bibi harusi[Tears of joy]
2026-09-29 06:36:52
39
GinimbitzMkatoliki :
Mimi sipendi mtu anaongelea Kitu hakijui, Ngoja niwaeleweshe hii imetokea Kijijini kwetu Idumila. Siku ya ndoa kama mnavojua Watu wamefika na Bwana arushi alikuwa amevalia kawaida Hana Kanzu. Sasa Sheikh aliyekuwa ameandaliwa akamuuliza mbona hajavaa Kanzu, yule bwana harusi akasema sio lazima. Akaambiwa aazime Kanzu sasa huyo Bibi arusi akaona kama vile jamaa hayuko siriasi. Pale kulikuwa na Ex wake amevaa Kanzu Nzuri mpya amependeza Ghafla akaenda kumkumbatia. Bwana arusi alivoona akawa amemind. Sasa watu wakaanza kushangilia wakijua yule jamaa ni bwana harusi Halisi🤣🤣 Ugovi ukaanza hapo. Hata hivo Siku hii sikuwepo na Sijui kilichotokea ni Vizuri Uka scroll 📜 huenda ukapata kuelewa next Comments 😀😀
2026-09-29 05:42:50
43
aisha amiru said :
muendelez plz
2026-09-29 09:57:12
0
خديجه 🌸 :
hatujui kinachoendelea ila weee bi harusi sisi tupo upande wako bwana weee
2026-09-29 11:08:37
51
mai🫡💞moh'd🌹🌹 :
imenfata yenyew part2😁next
2026-09-28 17:53:02
0
🍀🌺minah💯🌹🌿 :
nachoka
2026-09-29 10:44:52
0
Miss Latifah ❣️ :
mim nilikuwep yan ipo hv bwana harusi kaoa lkn hap han chumba analala njee kwahy b harus kaingizwa ndan bwana harus yup nje sas bibie anamtaka mumew km mumew hajaj na yy arud kwao[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 06:01:39
23
Yusra :
daaa tundwi songani motoooo uyu mwali kibokooo mmemtoa wapi? uyuuu😂😂😂😂😂 wifi wa taifa
2026-09-28 17:44:22
26
Ashay bby :
kumbe kuna part 2
2026-09-28 18:11:30
12
Itx_aysha.08 :
jamani mimi naogopa nakaribia kuolewa na ninakamdomo balaa 😂😂😂
2026-09-28 18:24:56
9
نحيا💙 :
Kwan bwanaharus yuk wap😳
2026-09-28 20:33:54
6
Cathlyn :
Jeshi la mtu mmoja
2026-09-28 19:03:41
11
mom husn♥️♥️ :
jamni kwanin shida nin
2026-09-28 16:45:58
6
khadija Mnyika :
punguzeni sauti tusikie 😅
2026-09-28 21:30:46
6
Hawa Sazi :
mm nipo upande wa biharusi .haaaaa msinichambe
2026-09-28 18:44:28
5
mex coterz :
amna mke apo
2026-09-29 15:57:16
0
halal girl sayings 🥀 :
eh kwan imekuaj ten
2026-09-29 12:43:29
0
@nuu_🦋🤍 :
Apo mm nilikuepo by harusi mwisho alipigana nahuyo mzee🤣🤣🤣
2026-09-29 17:29:57
3
Official Hadrathy 💞 :
ONGEENI MMOJA MMOJA BASI TUELEWE😁
2026-09-29 12:07:49
0
miss ney🧑🦰 :
bembeza ya msanga au mimi ndy sijaelewa jamani
2026-09-28 18:21:32
4
To see more videos from user @mwalamiramadhan, please go to the Tikwm
homepage.