manina siwez kupasahau hapo kipindi nasoma primary uhuru nmetoroka nshapitia ndizi rost kwa mama juma au kwa mama fili nko hapo nashushia na maji ya baridi tu
2026-09-29 12:57:29
43
The_liciuos_designs&Tailoring :
Wezi wa salad tunapaelewa sana😂😂 watoto wa njoro bana😂😂😂big up kwetu😂
2026-09-29 17:39:40
29
••Ƒąѵօմɾ🌸 :
Coffee kyurin 😁
2026-09-29 16:14:01
13
belindatyson :
Nilikua sikosi kupita hapo nikitoka shule[Tears of joy]... umenikumbusha Majengo Sec
2026-09-29 15:34:00
19
Imuuh🤐 :
nshawah kua natoka mawenz primary kuyafata haya maji n ndiz kw mama fide😅
2026-09-29 10:58:50
15
Official_winnie🦋 :
Salade za buku ni shindili enzi hizo 😅
2026-09-29 11:15:58
7
Deepally🚲 :
Daaah nimekunywa ayo maji sna na sikuwahi jua yana chura
2026-09-30 07:44:08
5
JATWAM FARM :
wale wa njoro kwa jomba koyi tujuwane
2026-09-29 18:47:11
16
king.smile🤴 :
nimekumbuka mbali sana kipindi icho shule na soma pasua alfu home ni majengo kwa mwalimu makondo nikisha chomwa najua lahapo relini nikifika hapa coffee curing nikama nimeingia sheli najichapa full tank ya bure alfu safari inaendelea
2026-09-30 12:55:08
12
I.swazy for love 💕 :
tulio kuwa watoro wa shule maficho relin tujuane
2026-10-02 19:47:54
5
Mohn Sigh :
TRC MOSHI HAPO KAKA😂😂😂😂
2026-09-29 20:22:20
2
chilambo :
maji yaliopo kwenye ichokisima apo uwezi kupata popote watoro washule miembeni namjimpya wnapajua
2026-09-29 15:42:22
9
Dan p :
hiyo sehemu binafsi nilikuwa napaogopa sana kupitia hasa kipindi kile kumerundikwa zile treni za makaa ya mawe halafu hapo juu Kuna bati lilikuwa limeachia basi linapiga kelele upepo ukivuma enzi hizo niko chekechea hapo pentecoste na baadae mawenzi primary
2026-09-30 15:00:58
2
Irene John Kiwory♉️ :
Aloo wakati niko primary apo miembeni tukitumwa maji mtoni na Tagora tunaenda kamata vichwa rungu🤣🤣🤣🤣 tunasema ni samaki dah🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 15:14:02
5
Son of God🙏 :
nimeshachota sana maji hapo relini
2026-10-01 16:52:18
3
Milly Deals TZ🇹🇿 :
njoroo iyooo akii barid ya ayo maji hapana kama hujawah kuyanywa huwezi elewa😂😂😂😂
2026-10-07 11:30:03
1
jesca calister :
Nyumbn km nyumban 🔥🔥
2026-09-29 13:49:55
1
Mansele :
maji barid na utulivu wa uwakika
2026-09-29 15:44:09
1
Eze Magari :
WALE WA NJORO NA MALENGA TUJUANE
2026-10-01 09:58:26
1
kita :
huko ninyumbano
2026-09-29 21:17:15
1
mwanaidiismail :
apo n coffee
2026-09-29 16:12:57
1
sweet mangi🤓 :
kulikua hamna cuzoo tunawahi kunywa hayo maji barid matamu baada ya kutoka mawenz pr hapo tushoripoti kwa bi ndizi pale zambezi,pia njia ilikua njia kuelekea mafundisho mchana jua kaliii😎😎
2026-09-30 08:54:09
1
Sammylv Ommy :
enzi izo njoro mabomba hakuna tunakuja apo chotaa maji
2026-09-30 06:21:53
3
Calvin_ngows :
waliosoma majengo sec wanajua location 🙌🙌
2026-09-30 14:58:24
2
To see more videos from user @moshi_view, please go to the Tikwm
homepage.