Bibi alienda na watoto tafuta Bibi mwengine anza new life
2026-09-28 23:50:39
46
GEORGE OCHIENG OLUOCH :
bro mi napitia hiyo sana
2026-09-28 17:33:23
30
princekasammacodero :
That was me 4 yrs ago & since I decided to let go & block her everywhere, I've known peace. may weight increased from 54 to 78 kgs.My financial power changed immediately she left
2026-09-28 17:45:58
25
maurineongare72 :
mbona uongeangi kuhusu wanaume au wanawake Tu ndio hukosea
2026-09-29 04:53:48
10
caine :
can't allow my kid's to suffer broh. wacha niwatafute...🙏🙏
2026-09-29 02:22:47
8
Suleiman Salim Abdallah Attman :
Bro huwezi ishi bila watoto hio nguvu waitoa wapi mimi siwezi acha damu yangu hata iweje MUNGU yupo bro
2026-09-28 18:35:21
8
Fredrick :
Na kama anakupigia simu eti utume school fee na hataki uone mtoto , hataki hata apige mtoto picha akutumie umuone, what should be done brother
2026-09-28 18:07:22
16
Levi lewis ling :
mine now 3yrs cjawahi waona nishawasahau kabisa
2026-10-06 09:12:36
6
Ltosh kantai :
mimi siwezi lea mtoto sioni
2026-09-29 13:43:00
22
user5884423564421 janooj4 :
na mwanaume mwenye alikataa mimba eti si wake na akamfukuza mwanake alafu baadaye anajua mtoi ni wake Ako na right ya kuulizia huyu mtoto kweli?
2026-09-29 07:28:40
5
Mose The ONE :
i let her go with my two boy currently ameanza kunisumbua mara watoto wananitaka i told her that i don't care coz previously she denied me to see them
2026-09-29 16:43:07
3
Dan :
wangu alienda na mtoto, I deleted her number nikasahau.
2026-09-30 13:55:34
8
antonyodanga :
kuna pastor aliniambia bibi akienda na aende na watoto don't worry marry another woman and get childrens too learn love again.
2026-09-29 16:20:59
6
🇹🇿...MÂĶÎÑÑÎ...🇰🇪 :
wew umesema situation niko nayo now my bro 💔💔💔😭😭😭
2026-09-28 22:18:22
5
. :
mimi wangu alipotea na watoto wangu wawili mkumbwa akiwa grade 4 saa hii msichana anaenda grade 10 ata sikua najua jioni moja niliwapata kwa parking wakiningoja na vitu zao zote mama yao akwabia huyo ndio baba yenyu mwenye aliwatupa miaka hiyo yote kazi ni kutoa tumbo so mkae na yeye mimi nimechoka na nyinyi so nikachukua watoto wangu nikawaingiza kwa nyumba na life inasonga vizuri nikawalipia school bus morning na jioni so kitu ilinisaida mimi time walipotea na mama yao niliwafungulia savings account juu one day nilijua watakuja kunitafuta
2026-09-30 00:27:46
6
1st Dota :
Achana na story mingi simu yngu screen iko hivi shida ni nini
2026-09-29 15:23:05
0
user8760158192961 :
i feel you ndugu lazima ulitendwa
2026-09-29 12:45:53
2
Auntie madooh😁♥️♥️ :
hii nayo ni ukweli mke akificha watoto mme aendelee na maisha yake
2026-09-28 18:39:03
5
mine :
Ukimaliza kuongea kuhusu wanawake pia ongea kuhusu wanaume wenye they don't provide but wako kuitisha picha za watoto
2026-09-28 18:36:16
3
yooh :
unafanya nakua na kiburi zaidi kaka 😂😂😂😂
2026-09-29 11:36:28
2
Victor K Kibet...The chosen✌✌ :
😂😂😂😅unaniongelesha syoo
2026-09-29 07:32:23
0
@Benard254 :
bro na watoto wakikuja kukutafta
2026-09-28 17:46:17
2
Peter Mwangi :
bro i salute to u strong n powerful message 🙏
2026-09-29 13:43:03
1
Babalao :
Nilikua na pepo kama huyo, alitoroka na watoto nikamuachia kabisa,ata binguni tusiwahi meet.
2026-09-29 08:58:48
2
To see more videos from user @sudi_michael, please go to the Tikwm
homepage.