@kijogoo236:

kijogoo
kijogoo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 16:47:50 GMT
208663
4384
199
263

Music

Download

Comments

user2018162247799
yvonne 01 :
life ya shule is so hard
2026-09-29 12:31:56
0
unstoppable.man84
UNSTOPPABLE MAN :
da! tulio pitia hili life tujuanee
2026-09-29 07:05:59
85
user5422039820325
Minaaa##Muuza Nafaka Shinyanga :
napanga mwanzo nakula haraka napanga tena mstari🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 08:08:22
16
user34577348477543
Ali Jamadal :
Game ni one touch 😅
2026-09-29 11:37:47
0
kashiririka28
EMMANUEL :
👏👏👏2026 leaver
2026-09-29 13:06:53
0
happynamoyo
boss lady :
inauma sana ukipewa kidogo na unajua hapa sishibi😂
2026-09-29 10:48:16
10
jiraboy55
JIRA BOY :
ayo maixha daaa inauma
2026-09-29 11:15:40
0
josee371571
Josee🇹🇿🇨🇩🇰🇪🚛🛣️ :
I can repet [Big LOL][Big LOL]
2026-09-28 19:42:18
0
khauraan
khauraan :
I feel like crying 😢
2026-09-29 11:50:21
0
raymarsamesaloon1
Raymar Saloon Same :
sitaki nikumbuke maisha ya hostel jaman[Tears of joy] maharage futa la taaa[Tears of joy] unanjaa mda huo
2026-09-29 08:36:16
1
rumayma.mustapha0
Rumayma mustapha :
yani nimekumbuka maisha ya shule hayoo😁😁😁
2026-09-29 07:32:12
8
cecycasmir
cecycasmir :
kwani si uwawekee vizuri tu jamani
2026-09-29 10:48:10
7
2004tangojackson
Tango Ltd. :
Dah tumetoka mbali
2026-09-29 10:54:56
2
costantine.bishota
Dkt Michael ☆♧☆♧☆♧ :
apa ni wapi tena mbona sielew
2026-09-29 06:03:01
0
45_makaveli
Severine’s collection :
Kumbe kuna shule wanapewa chakula
2026-09-28 19:15:49
4
cunning363
Cunning :
nikikumbuka huu ugali ilkuwa ikifka sa8 nauwaza nachoka mimi😅
2026-09-29 10:57:26
1
sakayakonina
Sakaya Konina :
Mungu wangu kipindi hicho ☺️
2026-09-29 09:06:37
1
willibertsoteri
willibert :
Nikiona hivi huwa nachukia maisha ya bodini nakumbuka nasoma advance biharamulo kagera nilitamani niache shule jamanimiaka miwili lakini niliona kama kumi masomo magumu chakula kigumu
2026-09-28 20:43:21
1
monca655
🧃🍿mnc✈️🩺🏖️☑️ :
hii ndo ilishanifanya hadi leo sili sana nilishanunua sana dawa za hamu ya chakula awap naninapenda ugari maziwa 🙏🥰🥰
2026-09-29 06:00:58
8
user8171505539933
user8171505539933 :
pole wanafunzi mjifunze maisha magumu sio poa
2026-09-28 18:00:24
2
emmanuel.masanja2
Emmanuel masanja :
shule
2026-09-28 17:58:16
1
swaahcute2
MOMII👑🏃👑 :
daaa! ayo maish ni ngum san😭😭😭 yan hitaj uvumiliv
2026-09-29 05:51:51
1
frank.frank.madum
Joseph nyawenda :
me nikajuwa wafungwa kumbe wanafunzi daaa sio kuzuri
2026-09-28 19:11:23
1
kassimcarlo
prosecutor :
nakumbuka nko form 3 nkajiamlia mambo kugawia wanafunz ugar ukaisha madarasa mawili yalikosa ugari walim wakanipiga stiki na wakadai niwapikie waliokosa
2026-09-28 20:06:55
3
winifridakeneth7
winifridakeneth7 :
nakumbuka mbali jamn 🙌🙌
2026-09-28 19:11:10
2
To see more videos from user @kijogoo236, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About