ceux là qui ne. Comprennent pas le swahili ça me fait rire 😂😂 😂 il etais entrain de dire que ils peuvent aussi envoyer leurs pépites dans des grands clubs européens pour espérer faire de bonnes résultats si ils espèrent faire quelque chose en coupe d’Afrique et que simba et yanga na pas de niveau pour leurs fournir des bon joueurs
kaka kinacho tu coast sana bongo swala la uraia pacha umezaliwa ulaya umekulia ulaya ukija bongo nchi ina kulazimisha kwanza ukatae uraia huo ulio pata wakati una zaliwa ulaya sasa mtu una angalia niache uraia wangu wa ulaya kisa nichezee team mtu ana kataa lakini kongo nchi yao ili wa ruhusu wachezaji wao waje kujezea team yao ya passport zao za ulaya wabaki na uraia wao hapo team nzima wengi wamezaliwa ulaya wisa moutusamy na kadhalika alie zaliwa kongo hapo ni mmoja tu au wa wili kama mayele ndio kazaliwa kongo mbemba nae kazaliwa kongo lakini aslimia 90% ya hao wachezaji wote wamezaliwa ulaya na nchi haija wakataza uraia wao wa ulaya ndio maana wanaendelea kufanya vizuri mpaka sasa sisi tuta sikia tu kwa jirani