@azoretechtz: Mambo 3 ya ku-check kabla haujafanya malipo ya iPhone: 1. True Tone: Kujua kama kioo ni original au kimeshabadilishwa. 2. Battery Health: Kuepuka ishu ya betri kuwa boosted. 3. Model Number: Kuelewa vizuri historia ya simu (M, F, au N). Gusa like na follow page yetu kwa tech tips zaidi! #iphonetips #techtanzania #azoretechtz #azoretechnologies

Azore Technologies
Azore Technologies
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 16:57:12 GMT
8017
287
4
15

Music

Download

Comments

user131608509
Davis :
asante
2026-09-30 19:32:40
1
peter.de.chipson
Peter de Chipson :
Kuna kitu kinaitwa Carrier Lock, ni muhim pia
2026-09-29 07:06:39
0
jay.mo490
jay mo :
Naomba nijue ufafanuzi kuhusu Hizo herufi (M,F na N)
2026-10-09 17:00:39
0
paulkessy562
Paul_sen12 :
dad Hotspot kwenye pc yangu haifanyi kaz nifanyee nin ili iweze kufanya kazi
2026-10-05 10:41:55
0
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About