tumefika Sehem mbaya mzee pili amekufa kwa kukosa matibabu mpka ameomba msaada wa pesa ila media na viongozi wa yanga walikuwa kmya leo amekufa kila mtu amejua wakati ana umwa walikuwa kmya UTI imechukua uhai wake wkat GSM Uwezo kumtibu anaa ila kipd yupo mzima walimtumia kwenye biashara zake leo anaumwa hamna msaada Dah hii dunia n ngumu sana☺️☺️
2026-09-28 19:45:18
11
kasim chewa :
INNA LLILLAH WAINNA ILAIH RAJIUN 😭😭😭
2026-09-28 18:53:05
14
Salum Khaidary :
jmn msifikie ivo hakiya mungu
2026-09-28 17:42:25
5
Maya Maia :
Yani jamani badala ya uzuni wanatuchekesha eti simba wameambiwa awali mpaka wakachote maji 😂
2026-09-28 18:29:26
7
Eester Timothy :
Ni utani ila unauma maana awez kuongea mzee wetu😭
2026-09-28 18:56:35
6
mtanzania :
msomeeni ata dua jamani haya ndio madhara ya kuthamini vya dunia
2026-09-28 19:03:30
7
Yassir :
munafanya utani ila tujue kifo kinakuja muda wowote hayo ni mambo ya dunia tunapaswa kufanya Ibada Kwa wingi ili kujenga kesho yetu baadae ya kufariki,baada ya kufariki hamna mtu,timu, mpira kitakacho tutetea mbeleni bali ni Ibada na amali zetu,tutafakari mambo ya mipira yatatusaidia nn baadae ya kuonana na m/mungu
2026-09-28 20:50:19
5
just do it :
jamani kifo sio mpira
2026-09-28 19:14:02
2
makwaya madini :
kwamungu hayapo haya jamani tumswalie mtume
2026-09-28 19:09:11
2
👑DATTY COMEDIAN 🇹🇿12itikeli :
alaaah Akbar alaaah Akbar alaaah Akbar alaaah
2026-09-28 19:21:20
1
salum Ng'onyo :
Inna Lillah msiba mkubwa sana baada ya fanyike maombii Yana semwa maneno ya Dunia
2026-09-28 19:42:08
1
Amwaly :
Lakani siyo vizr utani mngefanya baada yakumzika 😭😭
2026-09-28 19:45:59
1
valley :
subhannallah 😭😭😭😭
2026-09-28 20:02:17
1
Galib :
daa mpaka raha😂😂😂
2026-09-28 18:13:38
1
Ruge magari :
Dunia imeisha
2026-09-28 18:17:32
1
sande joseph :
kwenye kudai haki haa
2026-09-28 19:52:32
1
eden haks :
ila mzee anasikia yot n bora ata wangekuw wanasoma dua man iyo safar nzito
2026-09-28 19:50:30
1
SIR, STEVEN.💪 :
heee🤔😂😂
2026-09-28 18:13:31
1
kafuluma :
hii hatl
2026-09-28 18:54:18
1
UNCLE mally :
🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 Mungu akunusuru na azabu ya kaburin Mzee mpili
2026-09-28 21:37:59
0
salum namulya :
2026-09-29 02:52:39
0
thunaithat :
Kwakwelii dunianii,kuna watu wahovoo kbsaaa 😳😭
2026-09-28 22:03:43
0
Mustapha Hassan :
sana huu ni mtihani mkubwa sana
2026-09-29 01:04:27
0
Jay fity TZ :
ni huzunii
2026-09-28 21:41:43
0
yessemlengo :
hahaha😂😂
2026-09-28 17:14:10
0
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm
homepage.