Kukaa na Pesa au Kuwa Nayo haina maana Itumike Vibaya. Tumeitwa kuwa mawakili waaminifu wa Mungu tukizitumia Mali kwa Utaratibu na Hekima Aliyotupa Bwana na Si Kutapanya!
2026-09-29 13:13:05
1
samwel runana ng'oina :
Ila wamezidi wapunguze la sivyo hatuoi
2026-09-28 18:36:31
3
Doris Kithi :
waambie waelewe
2026-09-29 12:40:12
1
Miss p de clean📌🩷 :
😂😂😂 Naisi ameona
2026-09-29 10:56:41
1
Dear lee 🦋 :
😂😂 eheee
2026-09-29 09:15:20
1
Rich.Makweba jr :
Haviendani na unayoyasem pr
2026-09-29 12:32:02
1
dyner💜💭 :
Mchungaji Kunywa soda nalipia😂❤️
2026-09-29 11:05:37
1
mtaki :
na Shina la mabaya yote ni kupenda fedha
2026-09-29 13:17:55
1
stony-wisdom@ :
wa single walike hapa
2026-09-29 12:39:57
0
nolly4560 :
mchungaji kunywa maji nalipia
2026-09-29 16:03:28
0
Fundi Joyce 🔨 :
Barikiwa sana Pr
2026-09-29 12:17:30
0
cherry🍎 :
kweli ujumbe umefik pr
2026-09-29 11:45:29
0
sally@02 :
jaman wakak wakisabato wachoyo nyie 😭😭niongee kwa kusimam au nikae
2026-09-29 12:56:25
0
Mizani_ya_Imani :
utani wa mafungu
2026-09-29 11:06:21
0
Doris Kithi :
amen
2026-09-29 12:40:19
1
kidoa :
wanaume wamepanick 😂
2026-09-29 16:41:27
0
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Wakaka wakiona hii watakushambulia🤣mie nae bila pesa sitaki kusikia kabisa sasa nitakuwejee malkia bila pesa🫰
2026-09-29 09:58:25
0
Catherine Mnkeni :
Gongelea hapo Pst.
2026-09-29 16:22:57
0
SUNGA👑📸 :
😂😂😂😂😂 Aki ya baba 😂😂 dah
2026-09-29 09:50:29
0
marietha paschal :
unsnibariki sana pastor 🥰🥰
2026-09-29 08:49:15
1
SAMBE :
upotoshaji wa kiwango cha rami
2026-09-29 09:36:00
0
💕God's girl 💕 :
true pastor
no money no love
sisi tuko vizuri pesa ndo kila kitu 🤣🤣🤣🤣🤣wasabato tuko powaa sanaaaa wewe una sema km ndo hivo hatuoi acha wenye pesa wataoa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 09:00:44
0
To see more videos from user @nurusafarinchanneltv, please go to the Tikwm
homepage.