@roc_tv: Sikia wimbo huu ulivyo imbwa kwenye kipindi ,Wangapi Wana amini kama ni miaka mitano tu ndio imeweka utofauti wa video hizi mbili ,Moja ni 2021 ya pili ni akiwa kwenye kipindi Cha SAUTI THERAPY mapema jumapili hii Sikiliza mpaka mwisho alaf weka maoni yako hapo chini twende sawa @officialbenpower @zamoyonialex_official #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #viraltiktok #gospel #goviral
mzik hauna mwisho co kama mpira ,riadha ,boxing n.k
2026-09-30 22:13:59
1
BABU :
Mungu ni mukubwa kabisa nilikuwanawapendasana wakati mulikuwana fanya répétions ao mungali wadogo panzi Mungu ametufikishambalinasisi kuwapitiya Mungu akubariki kiyana ufike mbalizaidi
2026-09-29 18:59:04
1
@Norbert ajabu MC🎤 :
Yooooo
2026-09-30 23:40:05
0
DjeN Dieume :
Kwenye filamu kwanini watu wa komaa mbio mbio
2026-09-29 10:30:42
0
Thanty🎙 :
proved [Fire] so powerful
2026-09-30 09:10:24
0
GREAT MAN :
beniee🙌
2026-09-29 19:37:18
0
Mp Sniper🐼🎯 :
Basi, video ya kwanza alipokuwa bado mdogo ilikuwa mwaka gani?
2026-10-03 22:59:28
0
servantemamira :
🥺🥺
2026-09-30 20:22:05
0
Habakuki Faraja :
@benpower ❤️NAKUMBUKA MBALI SANA Mungu nimwaminifu, ninamhukru sana kwajili yako
2026-09-30 04:31:12
0
agnetapeter :
imekua ni ibada kwangu
2026-09-30 06:20:03
0
Moema prettie :
waooow perfect hongera bro
2026-09-28 18:06:11
0
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm
homepage.