@yangascb: Yanga vs simba 1-0 #yangasc champion 🏆 🔰💚💛 #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #yangasc🔰💚💚💛 #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fypシ

YANGA 🔰FOREVER 🔰🗨
YANGA 🔰FOREVER 🔰🗨
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 17:54:42 GMT
104502
4158
28
63

Music

Download

Comments

stevenmbwambo55
steve trucker TZ :
Hamna offside ya hvyo,na hatujalalamika sna wangekuwa wao sasa?
2026-09-29 08:42:49
11
baracah_ab
DIEGO :
Makolo tumewafunga 1 kwa sababu ya Refa hizo offside hakuna hata moja
2026-09-29 10:07:40
10
user4813333967276
STELING PK :
Bize vobaya
2026-09-28 18:00:40
1
willyjambo75
willyjambo75 :
ukisikia mtangazaji anasema "very taiti" ujue hakuna offside
2026-09-30 11:51:28
2
user6346163910657
MBEGA TZ🇹🇿🇹🇿 :
yanga bingwa
2026-09-28 18:04:10
3
1234567890jsjjdhb
tz :
yanya forever 💚💚💚💚💚
2026-09-28 18:15:26
1
abio_laizer
Mr Able ✨ :
hiii haikuwa offside
2026-09-28 18:34:20
1
de...steve
De . Steve :
hapo refa aliongopa so off hiyo ya pacom
2026-09-28 19:23:01
1
priva.silayo
priva silayo :
hamna comment ya mwanasimba ata mojaa , jiulize na ujihibu😅😅
2026-09-30 20:16:14
0
wazirihrherry
waziri parumelo herry :
maresa hawa duuu
2026-09-29 05:58:15
0
mkuliajrjr
Ngasa1993 :
sasa wangekua waoooo
2026-09-30 03:24:48
0
muhidimahamudu
Muhidi Mahamudu :
me nimeziona 3 penat mbili pacome Azizi ki zote no Ofced
2026-09-29 16:38:46
0
user7722521419750
Eric cantona :
Yanga bingwa 💚
2026-09-30 05:44:30
0
peterkibuga
Jr05 :
walibebwa sn hii gem dah
2026-09-30 11:57:14
1
user367866633066
@emma boy👌@ :
wangekua kunya fc utasikia gsm ana haribu ligi
2026-09-29 08:52:51
1
johnwhite927
johnwhite927 :
Aziz k karud pacome kaumia dah..👋
2026-09-29 12:31:41
0
humorousprofundity
Thinklaugh :
Wabebwaji ni vyura
2026-09-30 17:38:15
0
emmanuel.haule8
hauleee18 :
hata 10 wangekula tunawasubir walamba ukwaju
2026-10-01 05:35:06
0
saddhbrand1
sadd'h..01🫵 :
na Wala yanga hawalalamiki shida watoto WA mwisho 😂😂😂
2026-09-30 10:06:38
0
ndimbomnyama
ndimbomnyama :
Simba huwa wanabebwa sana mechi za dabi lakini wanakufaa
2026-10-01 14:32:11
0
paulo.ndundulu
Paulo Ndundulu :
alafu ukiwakuta wanavyolalam Kwa kayoko utadhan wao hua hawabebwi
2026-09-30 03:09:10
0
chipe.boy4
chipe boy :
apo huoni makolo wakilalamikaa😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-29 13:38:00
0
ally.star.boy
Ally Star boy :
🤣🤣🤣
2026-09-30 16:01:24
0
gruber478
Sylvester47 :
🎚
2026-10-01 05:57:10
0
To see more videos from user @yangascb, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About