na kama amekufaa [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-09-29 03:36:41
2
J_OMEGA :
#chooseone are irreplaceable 😏
2026-09-29 03:10:54
0
Huba yahya khamees :
favour song🥰
2026-09-28 20:52:26
1
shaommy official :
me sjawah kujuta kumpoteza mtu bal wao huwa wanajuta sababu me nikiwa karbu na mtu yyte ninatoa upendo wa kweli yaani nakua na pure heart sasa unakuta mtu anakupuuza anaona kawaida akienda mbele anakutana na watu tofauti so huwa natafutwa sana na watu walowah kuwa mbal na mm ila ubaya wangu nafas sinaga tena
2026-09-28 22:37:57
4
Jehovahire :
jamani tumeshaachana ila anataka nipokee simu zake kwa wakati nimjibu sms zake kwa wakati 🤣🤣🤣 anashida gan jmn
2026-09-28 19:41:44
7
David Mfinanga :
Thamani kubwa ni wewe mwenyewe huwezi kupata thamani kwa mtu mwingine..just ni mistake katika maisha
2026-09-28 19:05:29
5
am the one ❤️💪💪 :
bro kila kitu ni Hali ya AKILI. KILA KITU KINA MBADALA. LABDA MUNGU NA WAZAZI PEKEE
2026-09-29 05:37:36
1
nifashaashura :
nina ushuhuda 😢😢😢
2026-09-29 07:02:16
0
elbie jr :
mimi kama yupo anaenikumbuka aje tu na mimi bado namkumbuka🤣🤣🤣
2026-09-29 07:10:18
0
ONE7 BARBER SHOP💈 :
me kama mbosso t🤣🤣
2026-09-29 07:15:39
0
👑GOLDEN✳️BOY👑 :
toxic 😭😭
2026-09-29 00:44:39
0
Muhimpundu Jacq :
ndiyo kk
2026-09-28 18:26:33
0
Veronica Edward :
mama yangu Kila siku najutia kwa nn sikutumia mda wangu na yeye kipidi yupo
2026-09-28 21:01:18
1
Gerady :
hapo umechambua au umeshauli?
2026-09-29 04:21:59
0
FlaxFlammy :
mi bado sijaona
2026-09-28 20:32:59
0
twahilhoja :
huyo ni mke wangu2
2026-09-28 20:53:30
0
Renalda Nkayawa :
mi namshukuru mwenyezi mungu kweli kwenye mahusiano yang yote sijawai kujuta hata siku mmoja kwamba nini umeondoka katika maisha yang ila wao ndio wanajuta sana kunipoteza namshukuru mwenyezi mungu kwa hilo
2026-09-29 02:44:53
0
Jehovahire :
yaan anapatwa na hasira kabisa anashida gan tena huyuu
2026-09-28 20:38:26
0
the clever one 🤗😜 :
fact😊
2026-09-28 20:31:28
0
lizzy de great :
daah nimeguswa kweli
2026-09-28 20:44:33
0
Adolfu Shirima :
Hakika
2026-09-28 19:05:14
0
shafii salum :
sawa ila huyo muhindi koko kaja kufanya nini hapo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 07:24:00
0
M2POA :
hapa tuka msikiliz ambwene
2026-09-29 04:01:39
0
Abduly Haruna :
hat huyo mwarabu kajua thaman yako baada ya ww kuomdoka hap broh
2026-09-29 04:14:36
1
comfort zone shoes 👞 👟 :
na kama wanaume af wako watatu
2026-09-29 06:27:22
0
To see more videos from user @mbekitv, please go to the Tikwm
homepage.