Lucita ananyota ya kupendwa❤️👌…… tunaomkubali lucita tuweke like hapa
2026-09-28 18:01:35
922
teddy❤️ 😍 :
pesa haiitaji mtu mwoga[Twin hearts][Twin hearts][Twin hearts][Twin hearts]
2026-09-28 18:29:42
52
Vasco Vj :
lucita unakumbuka chenji hukunip m nikatembea kwa 🚶🏿🚶🏿
2026-09-28 18:01:35
120
appy💗💞❤️ :
tusikie umenunua kiwanja bas mdogo wetu😂"natunakuombea na ww uanze kujijengea nyumba Yako Amina inshallah
2026-09-29 03:31:43
113
hd cute 🦋 :
tunasubiri ununue gari tuombe lifti😍
2026-09-28 18:04:06
38
Smesha_actress🦋❤ :
MUNGU ungenipa kama nyota ya lucita jmn mpk raha jmm
2026-09-28 21:02:36
19
khairat Ntiboya Philemon :
huyo ndiye lucita wa kiredio hana haja ya pochi mfuko unatosha🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-28 20:12:26
29
Kamara tiktok :
naomba ten
2026-09-29 08:21:08
0
MTUMBA_STORE🎩🥋🩱 :
you deselv it bebe🥰
2026-09-29 11:39:30
0
Hadija Ally :
dada mamb
2026-09-29 16:52:00
0
Salma Ramadhani :
fungua akaunt kipenzi uweke pesa zako Usimpe mtu sasaivi uwaminifu kwenye pesa hamna Nakupenda lucita wangu
2026-09-29 08:59:23
7
bravo kd :
lucita dada nnashida na 100000. ya ada shuleni pleasse nakuomba
2026-09-29 08:54:10
4
youngmax🔧🔧 :
hongera
2026-09-29 05:32:57
0
CrellyHoshy :
daaah sema lucita anapamban San jamnii she deserves to be a wife
2026-09-28 18:04:09
2
mrs yule official :
uku usije
2026-09-28 18:07:19
4
jujomoney💵💴💸 :
umebaluza vp mdogo angu
2026-09-28 20:36:59
10
mrs obby🌹💝 :
roho yangu mm
2026-09-29 12:19:42
2
Tatiana og :
Aibu wataona wao walisubiri shughur ishe ndio wanune wabaruzieee na ili kipenzi mjini nyota 🥰🥰🥰🥰
2026-09-28 21:58:49
6
last born 🌺 :
Wangp tunamkubal lucta
2026-09-29 07:15:20
10
iddy wizzy khan :
ww nom sikuping
2026-09-29 08:59:14
1
Aisha Ciara :
Pambe veep ☺️☺️
2026-09-28 19:08:00
1
rahiyan % :
mdogo wang mungu azidi kukuongoza kipindi unaaza kutrend weng walikwambia kama chizi asaivi ndowanajua uchizi unafaida .ili utoke bongo ni akili nakabla ya kutoka unaaza kuzalaulika oyaaa respect.mungu yupo na wewe
2026-09-28 21:45:05
4
Ramilizo Double R :
team lucita tujuane
2026-09-29 11:37:31
1
scayoh9 :
Tukumbushane tuu tuctaman maisha ya mtandaoni watu wanauliwa kinyama just live our life🫶🥰
2026-09-29 17:22:39
1
malikhassanfundi :
🥰🥰🥰
2026-09-28 21:59:44
1
To see more videos from user @aiemlucita, please go to the Tikwm
homepage.