@mtotwabaharia: #CapCut #zanzibartiktok #tiktok #wasafitv

BAHARIA⚓️
BAHARIA⚓️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 17:57:09 GMT
87958
1280
66
140

Music

Download

Comments

romeopapilo
Cossy :
mimi sielewi ishu ni nini
2026-09-29 11:11:47
4
.luqman03
لقمان الحكيم857 :
Binadam kumdhibit ni kazi sana😂🤣😁😁
2026-09-28 20:59:48
17
baby_habibty27
_habibty 🦋🫧 :
hii hao tena wamezid sasa 😂😂😂😂
2026-09-29 07:30:10
7
nimuf33
Nimu :
watasababisha askar wenye honda kurejeshwa barabaran
2026-09-29 06:24:39
7
im_fidely
im_fidely :
hyo ndio sifa ya mwanadamu kadri utakavo mbana kwa mbinu na yy anajaribu kujinasuwa kwa mbinu zake mwenywe
2026-09-28 19:40:13
13
rudra_3103
FIGHTER💪🤛 :
Azania hii
2026-09-29 02:24:56
2
ajmus00
kadii :
Hana kosa apo coz iyo pia inatakiwa ionekan je kajiongeza tu kuzuia utumiaj mbaya wa pesa
2026-09-29 05:56:22
3
user83032713976616
Sisu ✌️ :
kwn njia ya kisauni nayo ina camer😅😅
2026-09-29 05:23:28
1
flight..mode33
hikmanstore :
apo azania haman kamer awala sheria nikuwahi2
2026-09-29 22:02:51
0
zenji.capture
ZENJI CAPTURE :
serikal inapenda watu kama hawa wabunifu 😳😁😁
2026-09-29 14:00:03
1
a.mohd.homie
a.moh'd.homie :
Var
2026-09-29 16:37:40
0
nanah4910
Nanah 🌼 :
plates ipoh na road pia ipoh
2026-09-29 11:27:27
0
ummyshaah
ArthamArsal :
azania
2026-09-29 12:02:41
0
giraffe.and.steep
chongolo :
Zanzibar Kwa fain za boda boda Ty nimenyanyua mikono juu jmn Mtuonee huruma na Sisi tunafamilia jmn honda zenyew za mkataba au mnataka wezi waongezeke mtaan tupunguzie. fain ili nyinyi mpate na Sisi tupate na mabos wapate jmn
2026-09-29 09:50:02
0
ztown0
A>FATHER>FIGURE :
camera zinapiga picha hazielewi
2026-09-29 08:56:30
0
judex290
Junta :
2026-09-29 15:45:45
0
.luqman03
لقمان الحكيم857 :
2026-09-28 20:59:15
1
roger_zanzibar
ROGER ZANZIBAR :
mtu huyo akidakwa na silva combo kikikaa ndani analaumu serikali😂😂😂
2026-09-28 19:59:55
2
y__z__z
Y....Z....Z :
watu kama hao wakikamatwa wanaona kama wameonewa sana hapo hana plate number hana helmet yaani ni ukaidi tu kwani ukivaa helmet utakufa
2026-09-29 07:56:03
1
_.draxeer18
_.draxeer18 :
Wapunguze faini tu ili sie tupate na wao wapate 😂
2026-09-29 07:06:05
1
bwanaharusi1111
ASAYAM35 :
ubaya ubwela
2026-09-29 04:27:29
1
loveworldcover
Z story :
vita bado mbichi hii 😁🙌🏻
2026-09-29 05:14:32
1
abdillah_rv
Rv :
😂 WataBLOO
2026-09-29 08:54:44
1
geeh92
𝑮𝑰𝑭𝑻 🌈🌈 :
vishandu😂😂
2026-09-28 23:05:31
1
To see more videos from user @mtotwabaharia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About