shukeni tafuteni mizizi ya tarehe 10 jaman atutaki aibu ndogo ndogo
2026-09-28 18:37:30
24
Imuh 😎😎 :
km ndugu Yako simamisha gari kampe mkono 😅
2026-09-28 18:05:29
25
Hijaby🌸 :
Ila Keletso😂♥️
2026-09-28 18:11:31
16
NengaTz :
😂😂😂😂😂shukeni mkawaambie hawajawasikia
2026-09-28 18:48:31
7
super nyota :
kalesto maharwa fund wa bol
2026-09-29 06:09:53
3
Ta🥀 :
🤣🤣🤣🤣nguvu moja
2026-09-28 18:13:32
3
mayasashomari7 :
yani apo wamekutana .ndugu 🤣🤣
2026-09-29 05:10:31
5
editan👩❤️👨 :
kwaiyo mkaenda kuwasalimua wenzenu
2026-09-29 05:58:35
4
coman-msafi :
hakuna team wanakula bata kuzidi simba kwenye hii nchi
2026-09-28 19:32:02
6
Max :
Team tajiri hii Jamni
2026-09-28 19:30:26
2
P ZE BOY 407 :
Hao ni familia kabisa na ndo maana Simba day ya mwaka huu Tuliwaalika uwanjan na kiukweli walienjoy san mana walituma Salam za pongezi kweny acc ya Simba sports club
2026-09-29 06:50:52
3
wizylife05 ☠️☠️⚽️ :
wanyama 2mekutana [Pray][Pray]
2026-09-28 20:12:49
2
andrea musa :
simba nguvu moja tunaoipenda simba tujuane 🥰
2026-09-28 20:50:44
2
simba sports 🔥🔥 :
wamemwona mwamba kama wao
2026-09-29 04:56:42
1
Selvina Sanga :
hil litim mm nalipenda jamni🥰🥰😂
2026-09-28 19:57:44
3
miss wee😜 :
penda chana Simba
2026-09-28 20:21:43
1
Aiem🎀 Solace🖕 :
Shuken mkaone hio nguvu moja
2026-09-29 04:25:18
1
Hassan Gunguti :
nguvu Moja 💪💪
2026-09-28 18:26:09
3
zai :
nilikuw nimenuna ila nimeflai saiv nawapend 🥰🥰
2026-09-29 01:28:09
0
Glady p. h. d🤎💃💃 :
Jamn we usisem Ivo mi mependa☺️☺️☺️
2026-09-29 05:12:33
1
Daimos boy :
Sey Nguvu mojaaaaaa.kalesto makgalwa
2026-09-29 03:09:13
1
PinkJoo💝 :
Hawa simba wamekutana huko S.A wanakikao chao😂🤣🤣🙌🙌wameendaongeza nguvu After Darby watasema waliongelea nini😂😂😂🙌🙌
2026-09-29 05:56:46
1
To see more videos from user @simbascofficial, please go to the Tikwm
homepage.