@ufufuonauzimaministries: Matukio ya ajabu na kutisha duniani yataendelea kuwepo tena na tena #bishopgwajima #ufufuonauzimacathedral

ufufuonauzimaministries
ufufuonauzimaministries
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 18:46:49 GMT
91280
7003
76
312

Music

Download

Comments

ebeneza_01
@Ebby_tz🫢 :
Watu tunaona Gwajima anajitungia mambo ila, hakika hakika nawaambia Mungu anazungumza kwa kinywa cha Gwajima
2026-09-28 21:00:15
75
felchismikimario8
Fransiscah 🇹🇿 :
jamni Mungu atusaidie tu me sijui cha kufanya kiukwel kuishi kitakatifu ni ngumu bila neema ya Mungu hatutoboi
2026-10-07 23:15:50
1
sajofine
SJ MODERN HOMES :
Mi huwa nasema huyu sio mwanadamu wa kawaida kama tunavyomuona bali hii ni sauti ya MUNGU
2026-09-29 05:14:15
39
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
yes,, aliwahi sema kuhusu trump kuwa na coin yake na yanatimia kweli ila ni muda sana alisema
2026-09-28 21:24:20
12
badbird958
ton :
digital currency
2026-09-29 05:59:01
1
ushirombomjini.com
Madale' daughter :
Msitumie nguvu nyingi jiandaeni na mafuriko yanayokuja LUKA 17:20-37 ilitabiriwa ujio wa Ufalme wa Mungu duniani
2026-09-29 06:23:48
6
jay.my.g
jay my G :
YESU NI MUNGU
2026-09-29 08:09:28
8
user7110023581114
user7110023581114 :
Mungu atukumbuke tupo nyakati ngumu na zenye uovu mkubwa.
2026-09-29 05:31:17
8
abigaelnasimiyu53
Abigael Nasimiyu :
sasa tutafanye mchungaji
2026-09-29 10:00:56
5
selemani_mganga
Selemani mganga :
Mungu tusaidie
2026-09-29 11:22:20
0
mwanangwa970
Fredy Mbilinyi :
gwajima anaona mbali sana
2026-09-29 05:51:54
4
user4294611543774
DEDAN :
Siku ya Bwana ii karibu mno!! Tujiandae
2026-09-29 17:38:11
3
richardmo24
richardmo93 :
666 tujiandae
2026-10-03 18:47:58
1
mishoro.mishoroay
Mishoro tz :
Gwajima baba upo tofaut na wachungaji wengn lakn unafanana na wachungaj wa ki Sabato mahubiri yenu tu yanalingana sana sio kam wengn ambao wanatoa mapepo lakn hawawaambii waumin wao hatr iliyopo mbele💯
2026-09-30 00:33:14
4
idk12292
not here :
kweli kabisa uruma.
2026-09-29 03:11:12
2
user8495487490920
user8495487490920 :
mupinga kiristol yupo njiani
2026-10-03 21:13:37
1
mimo3517tiktok.compy
mami :
mungu atusaidie
2026-09-29 05:58:57
1
agatha.mbwilo2
Agatha mbwilo :
WE MUNGU TUKUMBUKE.
2026-09-29 10:04:46
2
jaykamama
Jay Arshervin :
mmmh hadi tumbo la uzazi linaniuma hofu kuunni kwa wangu tu
2026-10-05 11:09:52
1
las_vegas_2019
Las Vegas 🇺🇲🇺🇲 :
akili KUBWA Sana 🙏
2026-09-28 22:27:54
2
godfrey3896
Godfrey Songe Mathias :
Ngwajima hapendi kuvaa nguo za ngarama 😊 Namkubali sana
2026-09-29 06:36:12
3
angellaaa222
Angella Peter :
mwenyenzi mungu tuepushe na utulinde sana na mambo mengine😳😳😳😳
2026-09-29 04:03:34
3
user9805074451488
gladnesschriss :
amen baba
2026-09-28 18:56:34
2
vladimirlauden
Laude :
kwa wasoma biblia wataelewa
2026-09-28 21:06:50
2
sadikibernard2
SADIKI Bernard :
waaceni kunasiku nita Amuru mitandao yote ya angani isimame kwasababu inawapa kiburi
2026-09-29 05:59:45
2
To see more videos from user @ufufuonauzimaministries, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About