kupotea hakuna salafi wala sufi, ni kati ya mja na allah
2026-09-29 04:15:37
1
bilalmusiomi :
manhaji salafi ndio manhaji ya kifuata
فرقة الناجية
2026-09-29 03:30:19
4
k :
Allah akuongoze katika daawah salafiyyah
2026-09-28 21:53:30
2
SAFE. MeDiCs💉💊🫰🫰 :
Hio ni kweli kabisa.
2026-09-28 21:02:23
1
Engineer :
usikasirike huo ndio ukweli .
2026-09-29 08:50:28
0
imrankhamis@ :
swadakta
2026-09-28 21:33:40
1
Qassim Naeem939 :
huo ndo ukweli
2026-09-29 08:04:05
0
ghalib :
ni ukwel sheikh wang wala usiogope
2026-09-29 08:08:43
0
ابن سعيد :
sema kweli kaka
2026-09-28 20:32:53
1
Badru Shaur بدر شعور :
huu ndoukweli wenyewe
2026-09-29 07:51:59
0
KIZINGA CHINGA :
wachukietu ila huo ndo ukweli
2026-09-29 04:35:00
0
Abdullah Soya :
Nikweli nami namuunga mkono we umesemakweli kwakuwa umeyasema Allah amekusikia hata mi yamenichosha sana watu wanacheza hata dimond hafwati tunachezea dini
2026-09-29 05:27:13
0
Muhammad Ahmed :
Masha Allah...njia imeanza kunyoooka...
2026-09-29 04:04:54
0
Abuusalman :
جزاك
2026-09-29 04:44:43
0
Abal Ajami :
jamani tusiwe wanafki katika dini, hivi unataka kunambia wakosefu ni wasio kuwa salafi ??? hao wanaocheza na kufanya mambo hayo hawapo kwenye usalafi wala pia hawapo kwenye usufi ni watu ambao wpo mbali kabisa na dini, bali ni waislam jina, sasa msianze kuhukumia etty uliona wapi wanawake wa kisalafi, ata wakisufi pia hakuna kwa alie soma, kupotea kwa mtu ni baina yake yeye na allah na sio usalaf wala usufi,
2026-09-29 04:11:30
0
Abuusalman :
هذا القول أقرب من الصواب..
2026-09-29 04:44:10
0
FIKRATUL MUHIBB :
mumeamua kuchafua waislam wenzenu sio
hapo hamchafui masufi tu bali mnauchafua uislam wenu
2026-09-28 20:22:18
1
SHEMA INVESTMENT TN :
MKUU BORA UMELIONA HILI MAANA MPKA UNAJIULIZA HII MIZIKI KWENYE UISLAM WAP NA WAP
2026-09-28 21:19:58
0
Abu♤♡♤Marthad☆ 🇸🇦🇹🇿 :
(وجحدوا بها واستيقنتها أنفسهم ظلما وعلوان...)
ndo hizi sasa
2026-09-28 23:00:16
1
Ichoboy Bajber :
ndio maana mukaambiwa maulid ni bid3aa na haya ndio madhara yake sasa
2026-09-29 09:23:01
0
Hassan Bambe :
NIUKWELI MTUPU HIVI SASA MADARA ZA DUFU NI TATIZO KWENYE MADILI. YA DINI YETU. JAPO SIYO MDARASA ZOTE ILA NI NUSU KWA NUSU
2026-09-29 06:32:01
0
ABUU SAHIL :
tutazidi kuelewana tu daawah salsfiyah itazid kuenea biidhin llah
2026-09-29 06:58:59
0
To see more videos from user @ghazal.tv1, please go to the Tikwm
homepage.