@elia.malisa2:

Elia Malisa
Elia Malisa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 18:51:30 GMT
199843
13144
875
1063

Music

Download

Comments

beeboobee06
Beboo :
kiswahili kitukuzwe[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-01 00:47:33
0
lifebyarshley
ARSHLEY :
acha nikawaitie mosiria😂
2026-09-30 18:51:04
0
prissy23th0
P🌸R🌸I🌸S🌸C🌸A :
weny watot wako mbali tunajisikia vibaya
2026-09-30 04:29:31
122
kajimbivivian3
sistergado :
huyu mtoto lazima Kuna kitu anapitia kwahuyu dada😭😭
2026-09-30 20:50:18
33
sikawababy
Sikawa baby :
ivi ndio mamaangu aliniacha nikimuitaji 😭😭💔💔 R.I.P mama
2026-09-30 05:33:53
72
kaprove2
it's L. I. z🌺 :
Najua wakenya mko huku😂
2026-09-30 07:04:38
34
said.abdallah327
Said Abdallah :
Uyu ndie mtoto pekee mwenye confidence ya kucheza na akili ya mtu mzima
2026-09-30 17:04:07
94
pendoshayo71
jack 🌺♥️ :
daaah anaongea kwa uchungu jaman msimtenge na mama ake jaman 😭😭😭😭mi adi roho inauma jaman
2026-09-30 09:18:32
48
rosenickolas178
Rose Nickolas :
mtoto ameongea kwa uchung xan mbk nimejixikia vibay jamn hakun kam mama kwenye hy dunia eeh mung turindie mama zet na walio tangulia mbel ya hak wapunguzie adhabu ya kabur
2026-09-29 20:49:56
85
evern74
smile😀. :
ili niende uchii😂😂😂
2026-09-30 04:50:36
38
user232695655
Nick Bella :
NIMELIA JAMANI
2026-09-30 11:42:57
11
officialcily
Secily kijah❤️‍🔥🔥 :
huyo mzazi kama angekuw ana akili za kufikiria huyo mtoto angemchukua tu hyo sio kawaida kabsaa me nimeumiaa sanaaa🥺🥺
2026-09-30 18:07:37
18
husna.juma287
Husna Juma :
Jamani aunt furs
2026-09-30 13:31:16
1
jesc01
Jessica :
Huyo anti anaonekana mkali sana, tulilelewa na mashangazi tunaelewa hii hali🥺
2026-09-30 07:02:53
25
da_malkia_2023queen
Christine wanje :
ak nimelia😭😭😭
2026-09-30 12:22:37
1
user9554161423306
sophie :
why am I felling emotionally...the baby is so scared to stay there...something is wrong
2026-09-30 16:29:56
2
neema.joshua50
Neema Joshua :
naongea [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 20:41:44
2
its.bless703
♐Blexyn♐ :
mama usiende ngoja tuongee kwanza😭
2026-09-30 19:52:36
5
user61707761617627
Deborah :
sijui nalia nini jamn
2026-09-30 09:28:27
5
ajrashayo
ajrashayo935 :
Nani kama mama jaman tulio jiskia vibaya anavyo omba mama asimuache tujuane hapa
2026-09-30 04:25:10
20
user6070378995931
hope Ponsiani :
me nimejisikia vibaya 🥹🥹mama usiende🥹
2026-09-30 04:45:16
17
salmaissa740
salma_07 :
jamani mbona mnamnyanyasa mpaka nimejisikia vibaya
2026-09-29 18:34:41
56
rosemarryapolinar
Rosemarry Apolinary :
adi anatia uruma jamni
2026-09-29 20:19:16
19
bukoba12
Mm Ally :
uyu mtoto anatia huru yaonekana kunajambo anapitia
2026-09-30 20:44:07
6
user8627353027293
aneth 💕 :
angekua mwanangu simuachi aisee
2026-09-30 17:32:47
16
To see more videos from user @elia.malisa2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About