@coconutfmzanzibar: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 28 Septemba 2026, alipokutana na ujumbe kutoka Shirikisho la Urusi ulioongozwa na Bw. Denis Agafonov, Mkuu wa Kurugenzi ya Wataalamu katika Ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar. #coconutfm #zanzibar #mamboyazenji
coconutfmzanzibar
Region: TZ
Monday 28 September 2026 18:57:17 GMT
Music
Download
Comments
da tuu :
my president
2026-09-29 06:31:31
1
Abdulmalik Haji :
maaaashallah dt, mwinyi ww zaidi ya raisi
2026-09-29 10:52:34
0
gwaru Hq :
my lovely president
2026-09-29 10:22:19
0
JEI JEI :
uyo mkalimani hajaolewa wakuuu nishampenda
2026-09-29 11:58:19
2
Abdillah Nassor :
Mitano tena Dr Mwinyi
2026-09-29 11:41:56
2
$p♡nsa.583 :
kazi nzr mh.rais
2026-09-29 03:20:06
3
Brother Alhujjah :
Mapendekezo mazur Na yakifanikiwa bs watanganyika watafilisika kwasbab mapato yao makubwa yanatokana na umeme Tena tunalipa sisi wazenj
2026-09-29 15:15:30
1
Salum Dongwe :
Vizuri sana mheshimiwa Raisi
2026-09-29 11:57:46
2
binhaji :
mtu w maana sn huyu
2026-09-29 04:56:38
2
Shingwi hoody :
Mungu akujaalie afya njema mh Rais
2026-09-29 03:53:09
4
bin issa ktchen dish :
tukianzisha umeme wa unklia trump atatuvamia atasingizia tunatengeza mabomu ya nyuklia 😂😂😂
2026-09-29 16:32:19
0
team Tz :
sijawahi kukuelewa ila hapo umesema sisi na urusi tuu 😁😁💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-09-29 12:52:32
0
Hassan Long26 :
good
2026-09-28 20:27:42
0
user8694249819843 :
safii
2026-09-29 16:49:41
0
J. B 🇨🇦 :
huyu rais naomba asiondoke jamani mwacheni abaki Zanzibar naurais wake hatutaki aondoke tuwacheni
2026-09-29 08:50:55
0
Huu udi unakosaje :
Yni hongera cna mpambanaji
2026-09-29 07:50:39
0
Ochu :
Vizuri sana kiongoxi wetu
2026-09-29 04:13:01
0
Flying Eagle :
safi sana
2026-09-29 05:38:26
0
Shingwi hoody :
Safi sana
2026-09-29 03:54:03
0
Shingwi hoody :
👍👍👍👍hongera sana Mh Rais
2026-09-29 03:52:41
0
Lost :
Free Zanzibar
2026-09-29 17:30:24
0
Buraq :
Watupatie umeme wa Nuclear tuwauzie watanganyika
2026-09-29 12:21:27
0
jamb :
ss watanganyika wanaosema watakata umeme wasikate tena mana karibu itakuwa umeme wao watafute pakuupeleka😁
2026-09-29 16:51:16
0
clever9 :
umama,mapendekeszhwo
2026-09-29 10:10:21
0
HMKT 🇹🇿🇮🇳 :
👍
2026-09-29 08:40:45
0
To see more videos from user @coconutfmzanzibar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.