HEEE SASA HAPO KAIBA TUNGI AU [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 07:45:29
0
Abuu :
sasa iyi camera imesaidia nn apo mtu kaondoka na taa
2026-09-29 03:49:59
7
The print life21 :
🤣🤣🤣 Ata viatu bc
2026-09-28 22:20:42
0
MAYA🐈 :
Kuna sehem nilikaa ilokuw Kila ukiwek tungu mwendo huuu wanaiba siku moja ana chomow tu kime mlamba tangu siku hiy hakuj kltolw tnw
2026-09-29 05:16:45
1
Mrs Makuku :
mtaa gni huo mbna km kaka ang huyo😀
2026-09-29 03:47:04
1
MASTER PLAN✨ :
oy tuondoke chap kuna camera apo😅😅😅😅😂
2026-09-29 08:54:03
0
pretty girl 👧 :
nimechek🤣🤣🤣
2026-09-29 05:08:13
1
Mohdhijja :
hy si baba mkwe wng jmn ??😳
2026-09-29 09:06:02
0
Mishy💕 :
Uuuuwii kazi anayo uyo baba polisi atalipa zaidi ya elfu mbili 🤣 yataa
2026-09-29 08:24:19
0
habib al zakwan :
dah hali ni mbaya
naomba tupate na ya mwizi tumchangie
ata bukubuku mtiani mkumbwa tusimlahumu hali Tete watoto. nyumbani
awaja kula😭
2026-09-29 08:14:12
1
khaledmhina :
HUYO JIRANI KABISA
2026-09-29 07:50:01
0
Officially nandy aucho🐍🥰 :
Mbn baba angu uyo 😳
2026-09-29 07:57:35
0
POWER LINK SOLUTION :
so viyatu balbu
2026-09-29 01:46:27
0
Bin kinana9692 :
Ama kweli wizi hauna Rika Wala muonekano wa mtu...
Siku ya hukumu kuna Siri nzito kwa watu ambao hatutokujakuzania kuwa wanawezafanya mambo flani kumbe duniani walifanya..
Allah atustirie aibu zetu sote na wazazi wetu waliokutangulia na vizazi vyetu vijavyo..
2026-09-29 06:22:58
6
abhifan-ali :
TTZ C KUONA TTZ KUMFANYA MWIZI AKIKARIBIA ENEO TAA ZA HADHARI NA ALARM 🚨 ZISKIKE
2026-09-29 03:13:20
0
Jumanne Mahona :
kweli umasikini unasumbua mpk tungi la taa unaiba ingali linauzwa elf 2000 tu