Kwaio saivi apo kuna kiingilio me nilikuaga naenda kufua nguo zangu hapo 😂😂😂🙌
2026-10-01 09:46:43
3
King_jeremiah__ :
wamezingua kuweka kiingilio cha buku bola wangesema ukiingia unanunua soda au unanunua chochote sasa toka waweke likamba pale ,watu hawatki hata kwenda ,before kuweka sheria kma hizo watu walikuwa wengi tunakosa mpka parking, ila saivi sasa hamna hata watu
2026-09-30 06:07:29
4
ÎŤ§ČHÏŁØĶÏĐĐ🇹🇿🇿🇦 :
Mamboleo beach resort
2026-09-29 11:22:28
1
Chummy ❤️ :
Nakumbuka mwaka jana nimeachwa nilikuja kulia huku😂😂😂😂 nililia sana jmn😂😂😂😂