@gwankaja_farm_lodge: MATEMA BEACH: Je unatamani kuwa na likizo ya Kipekee Kandokando ya Ziwa Nyasa 🌊 ila hujui ni Sehemu gani nzuri na yenye Utulivu ya kulala..? Tembelea na Furahia uzuri wa Matema Beach, mahali ambapo maji safi ya Ziwa Nyasa hukutana na mandhari ya kuvutia ya Milima ya Livingstone, ambapo iko jirani takribani km 40 tu kutoka GWWANKAJA FARM LODGE iliyopo Kijiji cha Mbambo, Busokelo Rungwe na kufanya uwe na safari ya siku moja au ziara maalum kutoka Lodge hadi MATEMA BEACH Ukiwa MATEMA BEACH unaweza: 🏊 Kuogelea na kupumzika ufukweni 🤿 Snorkelling na kutazama samaki wa ziwani 🛶 Safari za mitumbwi/boti ziwani 🥾 Kutembea milimani (hiking) na kutembelea maporomoko ya maji kama Matema Waterfall nk 🎣 Uvuvi na uzoefu wa maisha ya ziwani 🏘️ Kutembelea vijiji na kujifunza utamaduni wa wenyeji 📸 Kupiga picha za mandhari, machweo na picnic kando ya ziwa Weka Booking yako Sasa na Fanya GWANKAJA FARM LODGE kuwa kituo chako cha malazi na ufurahie Matema Beach kama sehemu ya safari yako ya kipekee 🌿🏡🌊 📍 Tupo Mbambo, Kata ya Kambasegela, Busokelo, Rungwe, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 : BOOKING & MAELEZO ZAIDI: +255 676 506 998 - WhatsApp tu +255 674 217 445 - Kupiga au SMS 📸 CC : Brandez Mwaijegele 🙏 #MatemaBeach #LakeNyasa #GwankajaFarmLodge #rungwe #ExplorembeyaTanzania
Gwankaja Farm Lodge
Region: TZ
Monday 28 September 2026 19:32:19 GMT
Music
Download
Comments
Gemini007 :
Matema home sweet home
2026-10-17 21:24:13
1
freduallughano :
Ila hii view kali sana kama ingepewa kipaumbele cha uwekezaji na serikali, very beautiful!
2026-09-29 20:25:01
5
ᵏᵉⁿᵉᵈʸ :
kwaheshima kyela finest
2026-10-01 08:38:28
2
SkyPopy09🧸🏆 :
kukhajha mwheeeeee Kobhotalhalhefuu🔥🔥
2026-09-30 20:06:45
1
Judicy wa dubai😘 :
Nineona flem yangu nainjoy kuiyona vew ya home ikiwa 🔥🔥🔥
2026-09-29 19:16:50
1
Official_paul.Jr :
🔥🔥🔥 awesome
2026-09-29 09:02:27
2
gerrykhan95 :
kukaja
2026-09-29 13:56:27
1
marley :
kama mbelee
2026-09-29 12:03:10
1
user5982932225746 :
tumepigwa
2026-10-04 12:44:45
1
J FOUR :
kukaja kununu mweee
2026-09-29 15:16:47
1
MyahudiwaTz🇹🇿🇷🇴🇪🇺🇹🇷✝️ :
hivyo vyote viko chini yenu Mimi KAZI yangu kulipia tuu au
2026-09-29 18:15:28
2
Benjamin Mwantaleko :
🥰🥰🥰
2026-09-29 06:04:23
2
@official_neyree :
[Red heart][Red heart]
2026-09-29 17:09:16
1
Dominah💗 :
💗💗💗🥰
2026-09-29 14:00:05
1
omy👑 :
😏😏😏
2026-09-30 17:38:33
1
To see more videos from user @gwankaja_farm_lodge, please go to the Tikwm
homepage.