LAZIMA UFANIKIWE. Najua hata wewe unaweza kuwa ni mmoja wa watu wanaoshudia biashara za watu zikifanya vizuri na kusema "yule jamaa mchawi" au utasikia maneno ni mshirikina analoga sana ndio maana wateja wanajaa kwake.
Inachekesha sana kwa mtu mwenye maarifa. Ila anaeumia ni wewe ambae umefungua biashara yako na kila siku ni kama unaanza biashara maana huchoki kuongeza mtaji kwasababu biashara yako inaongoza kwa kukupa hasara , kila siku unailea tu siku ziende uonekane unajishugulisha ila huna tofauti jobless .
Jiulize swali moja, KUNA MADHARA GANI KAMA UTAWEKA MVUTO NA KINGA KWENYE BIASHARA YAKO. Bila kumdhuru yeyote bila kumwaga damu ya mtu, wala kumfanyia ubaya mtu yeyote, na biashara yako ikaenda vizuri ukazalisha faida na kupata mafanikio makubwa tu. Je kuna madhara yeyote???
Kuna maarifa mengi sana kwenye hii dunia ambayo yote yapo kwaajili ya kukusaidia wewe mwanadamu kuweza kuishi na kufanikiwa kwa namna tofauti tofauti na katika maeneo tofauti tofauti pia kulingana na unachofanya.
Ila kutokana na mlivyoaminishwa apo awali katika ukuaji wenu mmefunzwa kutumia silaha moja tu ambayo ni kurusha MANENO. tu na kuamini hapo mlipo hamtakiwi kujifunza kingine tena (ujuaji) zaidi ya kuita watu waliowazidi maarifa washirikina.
Kuna mtu mmoja nilikuwa namsaidia kwenye maswala yake ya biashara baada ya kufanikiwa alishukuru sana ila alikosea kitu kimoja tu kuniita "mganga"., ntakuja kuwaambia kwanini sipendi kuitwa jina
Hilo kulingana taaluma yangu ya utabibu ila...
Kama utafanya maamuzi ya kuacha kupoteza muda kwenye hio biashara unayoifanya ni lazima ujipange katika namna zote ili ufanikiwe kwenye biashara hio. Kumbuka hilo.
2026-09-28 19:41:03
1
Mr Lonely :
chuma
2026-09-28 19:38:47
0
Petit🇨🇩 :
❤️❤️
2026-09-29 06:52:22
1
Alain 💙💗🇨🇩🎆 :
🌹🌹🌹
2026-09-29 07:16:20
1
sam classic :
🔥
2026-09-29 07:15:25
1
Jackson Juma :
🥰
2026-09-28 19:45:47
1
TraoréAnikulapo :
🥰🥰🥰
2026-09-28 21:50:18
1
Heavy Duty Op :
🥰
2026-09-28 20:36:09
1
السودان جميل في كل الظروف :
✌️✌️✌️
2026-09-28 19:58:51
0
𝒉𝒊𝒔_𝒅𝒆𝒆01 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-09-29 02:36:39
0
Khalfan Mohd Hakim :
🌹🌹🌹
2026-09-28 19:38:02
0
To see more videos from user @quenjoyce1, please go to the Tikwm
homepage.