@urafikibuckup: #TAASISIS YA USAFIRISHAJI TZ #tanzaniantiktok🇹🇿

URAFIKI BUSES Tz
URAFIKI BUSES Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 19:50:24 GMT
59962
2909
277
119

Music

Download

Comments

air.evance
Air Evance :
izo zimeshuka leo Dar basi 30 Tulioziona tujuane
2026-09-28 21:19:39
38
mjukuuwamwamposa
MJUKUU WA MWAMPOSA🇹🇿 :
nachajiuliza hizu gar huwa anazipelekaga wap maana mara zote napandaga ABOOD zimechoka... izi mpya zinakuaga wap.
2026-09-29 04:20:34
14
mustapha.mikidadi
Mustapha :
ABOOD katikisa tuone mbabe anaeweza kulipa challeng hi😂😂
2026-09-29 01:24:49
2
chapchapdelivery
chapchapdelivery :
Gari nyingi ila ngari za masafa marefu ni mabovu sijawahi pata ona
2026-09-29 05:42:14
4
ones_brian
Ones_Brian :
halaf mbona bongo hakunaga chuma za Volvo pamona na Man
2026-09-29 05:08:11
2
zaburi_121.8
ֆɛʋɛռ :
Hizi d14 bila zile ngao naona hata hazipendezi
2026-09-29 04:13:50
1
minde005
Minde💫 :
huyu hataki watu wafanye biashara ila bm atamjibu
2026-09-28 21:39:23
6
r.p.jmobile
"𝐖𝐡𝐊"⚡🦾✨ :
Wengine tumekuja kuota jua
2026-09-29 02:31:11
2
timmotors3
TIM MOTORS 💙 :
shabiby ,new force, bm, katarama,kaizirege tunawaomba mtuwakilishe tumjibu
2026-09-28 22:31:25
3
mrs.kweka1
Mrs kweka :
mabas mazuri sana ila customer care ndo mbayaa sanaa
2026-09-29 11:17:36
10
pattel320
F.a.r.a.j 🎱 :
Nani amewahi kuona abood ameuza gari kwa kampuni nyingine 😂😂😂😂
2026-09-29 04:46:40
0
reijenrwiza
riley🤲 :
aiseeee wahudum wao ni Wana kauli mbaya so powa na ukituma mzigo jihandae kuupokea kwa wiki
2026-09-29 19:08:34
1
scholastica410
Mrs Harrison :
wanasubirisha sana abira wao kutoka dar kuja tanga mtu unasubiri gani masaa mawili stend
2026-09-29 02:56:53
0
goodluckmush476
Goodluck Mush :
zinauwa sana kwa ajali
2026-09-29 06:51:20
1
disdangote
Dis Dangote :
free wifi na wako na Air condition kali adi raha
2026-09-29 03:54:57
1
whousnr
Whosnr :
Abood from dar-Dom...hii rutiiii.ipoo kwe????
2026-09-29 03:39:51
0
faithcosmetics7
faith cosmetics product :
kudharau wateja
2026-09-28 21:16:17
0
minde005
Minde💫 :
nipeni kazi
2026-09-28 21:42:04
1
angel.lee798
angel lee :
kuuwa kawaida tena ikiuwa inauwa haswaaa mm sipandi kwakweli iliniulia mama na mwanang sin ham nao
2026-09-29 04:47:36
0
mrmulla27
Mr Mulla :
tunataka tuwaone na gara saiv rod kama mkeka
2026-09-28 21:24:44
2
joy230470
Joy :
huyu mwachen awe mfalme maana yuko kwenye hii fan mda mrefu
2026-09-28 23:59:56
2
user3271717171158
kizzoh :
Wana sifa🔥😂
2026-09-28 21:02:28
0
selemanikitundu13
Selemani Kitundu :
bilakuchoka mambo ya showt
2026-09-28 21:15:10
0
bensonjosephkoba
son de peace :
za mangao🔥🔥🔥
2026-09-28 20:46:38
1
To see more videos from user @urafikibuckup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About