its a short plan lazm kma unatk long terget huwez fanya ivyo
2026-09-29 14:05:53
0
ukty Noor :
Asante kaka umenipa mawazo mazuri
2026-10-17 12:19:51
0
Vanillah❤️ :
Mabati bord hailoani
2026-10-17 13:53:17
0
NASSERIAN :
Tupe no zake basi kaka!
2026-09-29 05:42:26
0
+255🇹🇿 :
kaka kufuga broila untakiwa kuwa na sh ngap kak kwa kuanza tuu
2026-09-30 09:34:52
0
yedida :
nimelipenda jmn namparaje fundi
2026-10-01 13:23:30
0
PURPLE💜 :
naomba kuuliza hizo nyavu chini hazishiki kucha za kuku zikawapa tabu kutembea
2026-09-30 09:35:33
0
james_10jr01 :
mkuu me nna swali moja hapo......kinyesi kikijaa chini kusafisha inakuaje??
2026-09-28 22:57:02
0
Jay the hustler💪 :
Kaka naitaj msaada wako
2026-09-28 20:00:15
0
Mr Nseka :
Kaka apo jumla shingapi kaka
2026-09-29 09:10:13
0
grkzee :
Hiyo ni brooder...huwezi kuzia kuku humo
2026-09-29 09:51:32
0
Moro dread :
la vifaranga unyama sana
2026-10-03 23:47:41
0
newtee15 :
mh huko chin unasafishaje sasa angalau lingekua juu tena kidogo
2026-09-29 09:31:10
0
djdannymikonomichafu3 :
Nilikua na waza kujenga banda
2026-09-28 22:34:23
1
GGM :
kwanza mkuu hiyo ni brooder la pili muulize gharama zake hapo pamoja na ufundi hapo unajenga chumba kizima mkuu
2026-09-29 10:35:42
0
djdannymikonomichafu3 :
Nimeikubali sana ii 🔥🔥
2026-09-28 22:33:56
0
Groly Lucas :
banda zuri sana naomba number za fundi.
2026-10-03 16:20:55
0
KALLA’S :
Weeee kaka hapo kwa macho sio chini ya laki 5 kwenda juu …, nimejenga lang nimetumia zaid ya M….!! Mirunda mmoja 3K, mbao 2/2 3K , mabati used moja sip chini ya 15, wavu,pyaud moja 15 misumar izo bawaba weeeee na iwe umejenga mwenyew kma ni fundi muekee laki yake🤣🤣🤣🤣!! Na hapo kuna ukuta 😭🤦🏻♀️….,
2026-09-29 10:31:29
0
Nad33😍😍 :
Huko chini anafagiaje mbolea?
2026-09-29 07:43:17
2
Brian Sam :
halifai kwa vufaranga wa chini ya wk tatu la svo utanitafuta
2026-10-21 10:36:01
0
Xau_liq🦋 :
kusafisha uko chini sio poah😅
2026-10-02 10:17:36
0
SIZo boy@@@&%$100@ :
ngoja nikutumie la kwangu ulione kaka sawa
2026-10-15 07:49:27
0
To see more videos from user @sizakennel, please go to the Tikwm
homepage.