@mart.mstarabu: Hii ndo nyimboangu yakwanza ilonitambulisha rasimi kwenye tasnia yasanaa kuwa mwanamziki mwaka 2012 hiyo, jaman nimetoka mbali sijaanza leo namshukru sana Mungu hapa nilipo namoja namashabiki zangu asante sana kwasaport 🙏video nzima ipo YouTube channel yangu MART MSTARABU OG karibu husisahau kulike kushare comment subscribe pia #trending #tanzaniatiktok #ugandatiktok🇺🇬 #KENYA #trending

Mart Mstarabu
Mart Mstarabu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 20:20:52 GMT
16298
1459
121
71

Music

Download

Comments

mwalimukatunzi
Mwalimu katunzi :
hatari sana kipendi ekyo tulibato
2026-10-19 22:54:20
1
user2671980878591
Edson :
hii nyimbo kali sana broo,ubunifu wa hali ya juu miaka yote.
2026-10-20 16:44:46
1
eddytheboy1
Eddy The Boy :
kipindi icho baba yangu alikuwa na ledio na alipenda kuupiga huo wimbo na hapo Mimi sijui kama nitaweza kuwa msanii badae sema mungu mkubwa saiz nikimwambia mzee Wangu kwamba msanii aliyepiga huu wimbo ni LAFIKI yangu mzee aamini 😁 sema kaka umepambana sana na huu wimbo ulipiga kwenye mashono
2026-09-29 08:18:24
8
eveliusi_boy
𝒆𝒗𝒆𝒍𝒊𝒖𝒔𝒊_𝒃𝒐𝒚 :
Mc masai Nimtu wa maana kabisa kwanza ni jirani yangu Mbale kishogo PILI ni Mc wa sherehe yangu mwaka 2020
2026-09-29 13:17:23
1
kamazima26
kamazima :
Aiseeeh hii nyimbo imenikumbusha mbali sana aiseeeh! hivi kumbe ndo wewe umeimba hii
2026-09-29 13:24:37
2
user9442973177575
Rweyendera jr :
nyimbo ilipokelewa vyema sana nakumbuka kcr waliipga sana mara kwa mara
2026-09-29 09:59:49
1
janethi51
janethi :
Hi nyimbo inaitwaje??
2026-09-28 21:26:13
2
jones.johansen5
@JonesJohansen27 :
nakubal sana mwaka 2024 apo tunaenda kumdai bos unampigiaga uo wimb
2026-10-03 21:52:26
1
kulwastephano808
pacha jr :
wimbo unaitwa je
2026-09-29 05:20:55
1
user6284513142228
lameck mkza :
inyimbo kalisana
2026-09-29 07:05:37
1
denicemsodoki812
Denice Msodoki :
Kitambo sana kwel martin mustarabu mtetezi wa wanyonge
2026-09-29 15:04:29
1
kelvinkaiza0
LOVELII FROM KAGERA BUKOBA :
kweli kaka
2026-09-29 04:11:11
1
stellahthomas118
Stellah Thomas :
daa nimekumbuka saaana
2026-10-03 13:40:05
1
nickson.pasckal
nickson pasckal :
jina la nyimbo pless
2026-09-29 07:07:16
0
user4392335336114
Star ⭐boy 💯 :
Namuona MC Masai😶 nakubali sana kaka 💪💪
2026-09-29 08:56:37
1
usermoddy22
MODDY🇿🇦 :
kaz nxur
2026-09-29 10:15:18
1
babaeditha35
baba editha :
sahihi
2026-09-29 07:13:04
1
user5523396943485
user5523396943485 :
wambie2 wakichukia bas ila ndoukweli🥰
2026-09-28 21:33:59
1
binti.kasongo
binti kasongo :
nikwo
2026-10-17 18:52:30
1
preciouspp4
Mc PP@🎤 :
Ongera sana unapambana🙏🥰🥰
2026-10-14 05:53:43
1
user2671980878591
Edson :
hili moja yao
2026-10-14 17:44:35
0
mjuni.johansen
𝐌𝐊𝐀𝐑𝐈 𝐓𝐙💯 :
kumbe ni ww da kitambo
2026-10-11 20:16:47
1
paulo.polotazi2
Paulo Polotazi :
nakubali inaitwaje[Heartwarming]
2026-10-06 16:33:13
1
giselcso9nj
🦋G🌸 :
Mayo
2026-10-11 20:07:12
1
dativ34
Dickison :
wakati mwingine mabos wanazingua
2026-09-29 03:32:52
1
To see more videos from user @mart.mstarabu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About