@matukioonline_tv: Ramadhani Khalfan anavyosimulia mkasa wake wa kupoteza BAHARINI Kwa siku Takribani Tano , Ramadhan alikutana na changamoto hiyo anayoihusisha na masuala ya miujiza wakati akifanya shughuli zake za Uvuvi Kwa Habari Motomoto follow @matukiotv_online #MKASAWANGU
Hiyo ipo kweli hata kwetu mtu alipo tea mwez mzima had kusomewa hitma Ila katokea Baharini na amerud na vitu vya thamani had Leo yupo ni anatibu 🥰
2026-09-28 22:34:55
16
nexAura :
unatuchukuliaje
2026-09-28 23:22:55
7
Teodora Ngundala :
tulio maliza 89 tujuane 💚💚💚💚💝💝
2026-09-28 23:13:12
8
𝓓𝓮𝓮 𝓑𝓪𝓵𝓵𝓮 2️⃣5️⃣ :
Alaf ujue wengine tunatumia WiFi za watu asa kusumbuana kama ivi me spendi
2026-09-29 09:09:02
4
🥷Bin✨️✨️ aadam🌹💪🇹🇿 :
siku tano duu mi simo😁😁😁
2026-09-29 04:13:17
1
Esha_lengesha :
Inatokea mim shemej angu alipotea baharin takriban mwez..,lkn alikuja kuonekan anatoa damu puan,masikion..,alitibiwa akapona ila amepat hitilaf hasikii na kuongea pia anaongea kwa shida kidog
2026-09-29 07:21:20
4
Alhamdulillah :
Bahari ina siri nyingi
2026-09-29 05:20:35
3
mariamthobias521 :
Part 2 iko wapi???
2026-09-29 05:47:09
2
✨ salami____(سلمي)🌟✅ :
hii kumb ni season dah muendelezo plz 🥺
2026-09-29 07:31:33
2
Miymah :
Labda ni ndoto😅
2026-09-29 09:05:02
3
arya :
nipeleke na mm nataka kwenda ujinini
2026-09-29 05:34:14
3
Mariam Msey :
next
2026-09-29 06:36:04
1
Husna Likulile :
hatari daah!!
2026-09-29 06:20:30
1
MUSTAFA JEI :
pole sana
2026-09-29 06:04:26
1
abuu feitham :
mhhh
2026-09-29 06:51:18
1
💕mama mpenz. 😘 :
jamani mjomba anguuu 🤣🤣🤣
2026-09-29 07:00:46
1
Chumu :
Mmh!
2026-09-29 05:26:54
1
Amisi Salé :
eée noma
2026-09-29 04:52:46
1
Betii :
waah!next pls
2026-09-29 04:57:35
1
ASHINO mukanu appel vieux muka :
suite
2026-09-30 20:55:01
0
Claud :
next
2026-09-30 20:46:27
0
user22916563830356 :
next
2026-10-01 07:27:11
0
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.