@favourbeyondmeasures: Old Gospel Festival 2027, are you ready#Neemainayibadikishamaishatabasamulisilopimika #viralvideo #viraltiktok

FBM FOUNDATION
FBM FOUNDATION
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 20:38:18 GMT
92969
6912
423
199

Music

Download

Comments

favourbeyondmeasures
FBM FOUNDATION :
Old Gospel Festival 🥰🥰🥰, Tamasha la Nyimbo za Injili za enzi hizo, watoto wa Elfu mbili hawajanunua iphone😂, litakuwepo so ndio
2026-09-28 20:45:13
44
user48237600335568
Jacker welding :
Iyo kwaya baba na mama walikua wanaipenda sana daah saiv hawapo tena
2026-09-29 17:18:13
34
rachelbalama0
rachelbalama :
nyimbo za zamani waliimba kwa roho nakweli
2026-09-29 04:21:37
19
littlebravendelwa6023
LITTLEBRAVE NDELWA :
ni njema sana hiyo maana saivi waimbaji wa injili wanatuchanganya
2026-09-29 07:00:10
10
raphaelraphael591
Raphael :
wazo zuri sana,,tena mpite kila mkoa ikiwezekana kila wilaya walah nitashiriki
2026-10-04 05:43:47
5
penny.kubwela
Penny Kubwela :
nzuri
2026-11-10 09:01:51
1
nicerobert415
Nancy🎀 :
wazo zuri mtakuwa wapi sasa likiandaliwa
2026-10-08 10:40:00
1
centinho26
Mc Centinho :
Toa location tuu
2026-09-29 05:07:43
2
janeththomas749
divinefavour :
Nitakuepo location
2026-09-29 11:36:33
1
userdamuniglady
Glamour ❣️ :
itakuwa rahaa sana
2026-09-29 05:14:55
2
thecoolest_boy
🅸 🅰🅼 🅲🅱 :
nipo tayari sana
2026-09-29 06:59:44
2
hezekiatollahmkom
H. T. M :
nitakuwa wa kwanza
2026-09-29 08:35:51
3
bhoke.cute
bhoke 🦋 :
Tena muanze mapema na muanze na KAHAMA🙏
2026-10-11 19:07:11
1
esah119
E.luryo🌹✨ :
nyimbo yangu pendwa❤️
2026-09-29 20:03:00
3
maimartha12
Madame Boss 💖🍃🍀 :
kabisaa iwe Kwa hrk ,siku ya ajabu weee 😂
2026-09-29 06:35:39
2
sarah.beichumila
Kimnana :
yes
2026-11-11 05:07:48
1
williammollel00
JITU LA IMANI :
wapi huko
2026-09-29 06:35:01
2
collehytony
Lady C🌹❤️ :
Ndiyoo
2026-09-29 07:21:16
2
simonkadilanha
simonkadilanha :
amina
2026-09-29 07:15:51
2
daniel.gozbert3
mtumishi wa baba :
bega Kwa bega
2026-09-29 06:20:50
1
maygee740
Maygee🌸🦋 :
n nzr ifanyike dodoma 😂😂🤭
2026-09-29 16:40:07
1
weruann930
Weru Ann :
naingoja kwa hamu
2026-09-29 06:32:23
1
tinaouma2
tina ouma✨ :
woow wimbo bomba sana, cjui wako wapi siku hizi 🥺🙏
2026-09-29 07:27:41
4
timotheofinda
Timotheo Finda :
mungu akipenda nikuepo
2026-09-29 06:45:07
2
andrew.malitine
Andrew malitine :
mm nitakuwaa wakwanzaaa
2026-09-29 04:11:57
2
To see more videos from user @favourbeyondmeasures, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About