@feddy.quality.furnitures: 🔥 SOFA SET YA KISASA — LETA LUXURY & ELEGANCE KWENYE SEBULE YAKO! 🛋️✨ Urembo wa kweli unaanzia kwenye uchaguzi wa furniture 😍🔥 Sofa hii imebeba design ya kisasa, comfort na mvuto wa kipekee — perfect kwa sebule inayotaka kuonekana classy na yenye hadhi. ✨ 🏠 Pamba sebule yako kwa style ya kipekee! 📞 0754619273 — Wasiliana nasi kwa oda na maelezo zaidi. #SofaSet #SofaTanzania #FurnitureTanzania #FurnitureDar #Sebule
Tunachoka n bas tuu n tunapata wanaume wa ovyo San
2026-09-30 08:45:04
31
Esther Laizer :
Acha kabsa 😭😭😭 huna ata wa kukuambia pole inauma sana
2026-09-30 09:22:29
6
LEAN🔥💖 :
Nataman niongee mengi ila sina wakunisiliza💔🤦🏽♀️
2026-09-29 21:14:49
10
Rized :
sofa mashallah 🥰😍
2026-09-29 19:52:30
0
ziii😍😍 :
Asante sana kaka wallah umejuwa kututetea
2026-09-29 19:47:58
2
Just me🖤✨️ :
si mmoja aje anikumbatie tu nilie jamani😭😭😭
2026-09-30 07:41:46
1
Double J Bite's & Cake :
kaka Ahsate kwa Kulikua Hilo hapa nmechoka mwili na Robo sababu Sina hata wa Kunitia Faraja Aloooh 😭🙌
Alf mtu anakuambia Miezi yote Hy Faida ndo hii wakati huo wewe umepambana mpaka jasho la mwisho
2026-09-29 21:05:03
3
Rayally :
unapatikana wapi
2026-10-01 07:27:32
0
user36275725000950 :
shingap ii bos
2026-09-29 05:05:38
0
Hijra Bakari :
Niongee kwa kukaa au kusimam🥺
2026-10-01 05:09:57
0
sophiabakary509 :
wewe ndio unajua wenzio hawajui ILO
2026-09-29 18:48:28
0
@V_kidoti :
bei gani hii
2026-09-30 10:09:19
0
nitikemwakasege :
ni wew tuu ndo unaelewa ilo
2026-09-29 18:49:53
0
🌸❤️ E. M.M.A.H ❤️🤍💦 :
Ujengew sanamu brother 🥰🥰🥰
2026-09-30 07:05:52
1
mG :
bei boss
2026-09-29 06:04:01
0
flora66025 :
na kuna mwanaume unaipambania familia haoni.ukifungua biashara ingine ukimshirikisha anakosa amani kifupi unavozidi kufanikiwa zaidi yeye hapendi hii imekaaje wakuu
2026-09-30 06:58:34
1
binti ya mama ake :
natamani kuongea ila nashindwa maana ila basi bwana
2026-09-30 03:25:54
1
gloryoutfitsarusha :
Unapatikana wapi
2026-09-30 14:28:04
0
Queen Elizabeth :
Mko wap
2026-10-04 11:47:57
0
Rahma Hassan :
mungu atusimamie kwakweli...🥺🤔
2026-10-01 12:31:24
0
Nurah Minga :
🤝
2026-10-01 19:47:57
0
Tumasmartfashion♎️ :
2026-10-01 18:37:21
0
R. K. M🥰🥰 :
sh ngap
2026-10-04 12:23:27
0
Habiba Amiry :
bei gan km hiyo set
2026-10-01 14:09:52
0
MomBoyz :
Mniambie mwisho miaka mingapi nahisi nimechoka😂😂😂
2026-09-30 06:05:11
0
To see more videos from user @feddy.quality.furnitures, please go to the Tikwm
homepage.