@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #createsightinsight 🚨 PART TWO | IGUNDA, IRINGA Mwenyekiti wa mtaa azungumzia tukio la mauaji lililotokea katika Kijiji cha Igunda, Kata ya Lymungwe, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. 🎥 Sikiliza maelezo yake kuhusu kilichotokea na hatua zinazochukuliwa kufuatia tukio hilo. 👉 Tazama video hadi mwisho kupata maelezo zaidi. #Iringa #babahapumziki #viral

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 23:12:31 GMT
442768
15733
237
403

Music

Download

Comments

amosi.mkalimoto
Amosi Mkalimoto :
duuu pole
2026-10-10 18:23:03
0
delilahblessing
Baby Dee🥰🥰 :
nikiona hv namkumbuka baaba yangu nae alikuf kifo iki uwiiiiii polen😭😭😭
2026-09-29 04:44:45
70
lesijore0
🦋 mum 🦋 jore 🦋 :
mbna jeneza wanabeba na pikipiki jamani
2026-09-29 13:17:00
0
kelyjohn
kelyjohnmfalingundi🙎🙎 :
baba pumzika kwa amani ,,,inauma sana dahi😭😭😭
2026-10-02 19:21:50
1
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
tuzidi kumuombea marehemu
2026-09-29 08:26:13
36
anethsanga783
Aneth Sanga :
hiyo kata IPO iringa sehemu gani ?? nipo iringa na siijuhii
2026-09-29 09:27:27
7
user3742092728019
user3742092728019 :
Heee!wahehe mbona mna mambo ya ajabu hivyo mnatuaibisha kyaaa
2026-09-29 02:42:19
8
claudiathobias3
clara ❣️❣️❣️❣️ :
Allah Allahkuballh Allah ndoanaejua yoteeee inaskitisha sana wafiwa polen saana inaumasan 😭😭😭😭😭 apumzike kwaaman
2026-09-29 06:42:30
3
user736661500200
Lydia Adam :
jaman lakin wanadam wamekutwa na nn mbona matukio yanazidi
2026-10-01 16:15:41
4
othuman.bey0
othuman bey :
tuzidi kumuomba mungu atujaalie mwisho mwema
2026-09-29 09:31:05
6
grace.mlula
Grace Mlula :
tatizo wanajichukulia maamuzi
2026-09-30 19:30:25
1
user1476246391419
Tanzania :
jaman hz dalili yakat za mwisho
2026-09-29 17:04:38
5
dosteampinge
Dostea Mpinge :
polen sana ndugu zangu
2026-10-02 12:48:15
1
maria.daud83
Maria Daud :
pireni jamani mungu utasaidie
2026-09-30 09:27:02
1
catalinapaskali
catalinapaskali :
poleni sana jamani inauma sana
2026-10-03 09:40:33
1
user1262848152418
Rose🌹wakona💟 :
poleni sana
2026-09-29 13:53:31
1
user8greyson119443719280
Mama.G :
jmni mbon watu tunakuwa wakatili ivi
2026-09-29 11:49:45
2
gracelijaji
Grace Lijaji :
poleni sana ndugu zetu Mungu awatie nguvu
2026-09-30 04:41:53
4
tulolile
Tulolile Ambonwe :
Iringa YESU atusamehe na kutuponya tuache ukatili
2026-09-29 04:36:55
10
mcas.de
mcas de :
😭😭😭inauma sana binadamu tumegeuka kabisa Mungu atusaidie tu
2026-09-29 15:33:38
3
esther.tumain6
Esther Tumain :
jamni walimwengu dhuu mungu amlazemahali pema amen🙏
2026-09-29 03:24:47
4
user870932816245
chizumi :
poleni sana daah mungu wanguuu
2026-09-29 21:49:04
1
rebby6203
REBBY :
ee Mungu saidia Tanzania🙏🙏🙏
2026-09-29 10:54:00
1
miss_mummytz
miss_mammy :
duuuh cjh Nan anaroho ngumu kias Hilo😭😭😭😭
2026-09-29 11:12:06
0
dainessdan
dainessdaniely533 :
ndifwaha ve🥺
2026-09-29 03:59:48
3
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About